LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaq LiverpoolFC ulikuea wapi tangu jana?? Show imekupita aiseee
CC ndio nini babu?
Sijaelewa kabisaaa
Mambo mdada!!
Ulifanikiwa kale kampango ka jana?
Kwani bibi huwa namsikiaga analiaga kila siku ikifika usiku.
Hv huwa analia kwani unamchapaga.
Afu ni mida ileile.
Mbona hili ilikuwa enzi hizo kabla ya kuretire?
Siku hizi twajiotea moto na kuwapigia wajukuu zile za paukwa pakawa!
Kama wataka kusikiliza hadithi tu wakaribishwa.