Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Ni kweli pametulia sana...km tungeenda na pande zile kwa kale kajamaa ndo ungegoma kurudi kesho.
Ila naamini umeenjoy sana.

Usijali,
Nitakuja tena Ijumaa ijayo.
Ila nimepapenda.
Kale kajamaa kanoah ntaja kukasulubu next week.
Njoo basi huku Hotelini.
 
Hivi nyie wakudenge, leo jumangapi? Damn red label!
 
Back
Top Bottom