Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakimbiajeee..
Umeona eeeh
Nanii hadi kisogoni
Hao wana vidole vya mwisho bhana.
Hahahahhaaaaaa babu mbona unatisha wajukuu???Pye pye tu hizo dogo!
Watu watia mpira kwapani kila siku halafu yeye anakuja kuwazuga tu?
Labda kama anataka wale wasiojiamini wasepe mapema.
I wish haya mambo yangekuwepo 1947, haki ya nani wauza maji ya kunywa ya chupa wagekuwa mabilionea bila kuficha hata coin uswisi!
Ha ha ha!!@Babu DC bana!!! Mbona hivyo ni vya kawaida kwa wanandoa?Au zamani nyie mlikuwa hamvisemi hadharani?
Mi kuna rafiki yangu mmoja alinisaidia...alikuwa karibu
Hahahahhaaaaaa babu mbona unatisha wajukuu???
Hapana.
Hivi wewe binti komando King'asti, neno kustaafu lina utata wowote?
Halafu, unadhani mdoli wa mtoto una maana yoyote kwake kama hajui na hawezi kuuchezea?
Basi kuanzia siku ya leo, wambie na wadogo/dada zako walitambue hili kuwa wanaume ni midoli yenu...
Kama kumkishindwa kumaximize returns shauri yenu!!
Babu DC!!
Umenikumbusha jambo, kuna watu humu jamvini hawajui faida za 6x6, ati wanasema vinalegeza ndoa, ila kwa hii Morning glory wanakosa mambo! Mi huwa naendaga sunday school ili asubuh nipate haki yangu! Kuna haja gani kwenda kwa padri Baptiste hali uso umefubaa, una hasira hata na padri anayehubiri kwa kujiuliza misa itaisha saa ngapi ukaipate haki yako?
Ha hahahaha mke mwenza King'asti acha kumtisha pacha wangu lol. Teitei mkononi tena???
Unawasingizia... Wateule wangu wote ni 4WD. Huyo aliyekuacha solemba ni yupi nimpige chini?
Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..
Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!
Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..
Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!
Ndo maana nyie mnaishi kwenye dunia yenu. Enzi zetu hata watoto walikuwa ama wananunuliwa dukani kama midoli au watolewa tumboni kwa kupasua kwa kisu kama vile ni sato!!
Bby we mbea lol