Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Mungi njoo huku utuambie kama bado Loki imeng'ang'ania!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC siku hizi sisi hatumumunyi maneno!!!Watoto wadogo nao siku hizi wanajua kwamba watoto hawanunuliwi!!
Hujakosea Babu,siye tupo ulimwengu mwingine kabisa!!


Haya bwana..siwawezi,

Ila! nyie msitucheke kwani tuna dunia yetu ya 1947....

Babu DC!
 
Shikamoo Babu DC almaaruf Dark City.


Hahahahahahhahah,

Babu ni mzima mgonjwa wangu...cc.. Mamzalendo...lol!!

Halafu mbona umekatika ghafla kama mvua ya kughushi?

Njoo basi tupange jinsi ya kumalizia hii siku ya Bwana!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Embu ongeza sauti, sijakusikia vizuri!?


Hivi hata chai umepewa wewe?

Naona mjukuu alikuwa anawahi namba hapa CC, utadhani ni dada mkuu wa St Kanumba Primary schoo...lol.l!!

Babu DC!!
 
Hahahahhaaaaaa babu mbona unatisha wajukuu???


Wakitishika basi ni uzembe wao au kiherehere chao...

Babu ni nyuki wa bucha...hawezi kukiwakimbiza watoto hata siku moja??

Hebu muulize Lily Flower!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hata chai umepewa wewe?

Naona mjukuu alikuwa anawahi namba hapa CC, utadhani ni dada mkuu wa St Kanumba Primary schoo...lol.l!!

Babu DC!!

Nimepewa chai na mkate, wakati nina mning'inio! We acha tu!
 
We uliipata?
Ila ulinambia....
Mh!....
Dark City anangojea nitaongea nini.

Wasi wasi wako tu?

Ulishaona nyuki wa bucha wanang'ata? Reference = Lily Flower!



Unajua kusema uongo ni dhambi? Tena umeitenda toka jana asubuhi kwa yale majibu yako ambayo babu kayastukia..

Basi kaombe kitubio haraka kabla mtumishi Wa bwana hajaenda kupata lunch inayoweza kumwondolea udhu!

Babu hebu nikumbushe.
Nilisema hapana kwa nini?
Uzee huu.

Uzee uupate wapi?

Tatizo ni kukosa stadi za kusema uongo....

Hebu fuatilia mwenyewe.....


Baada ya hapo uache kuwalisha wajukuu zangu dozi ambayo ni toxic kama uliyomtisha nayo Erickb52!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Shem,
Hakyamungu tena Sijafanya nae lolote,
Kibra huku...na mchanga wa Pwani naulamba.

Mbona unajitetea hivyo!? Nilitaka kujua ulifikaje Arusha kimya kimya hivyo. Hayo ya kufanya nilikuwa bado sijauliza!
 
Nimepewa chai na mkate, wakati nina mning'inio! We acha tu!


Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhh,

Pole sana dogo.....sina hata la kukushauri, ...naogopa msije kusema kuwa naongea mambo ya 1947!!

Ila hii kesi lazima marejesho atoe walau maelezo ya awali!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona unajitetea hivyo!? Nilitaka kujua ulifikaje Arusha kimya kimya hivyo. Hayo ya kufanya nilikuwa bado sijauliza!


Hahahahahahahah...

Kumbe na wewe Filipo siku hizi unakaribia kuhitimu?

Ukiona mtoto anajitetea kuwa hajaiba shilingi 100, basi wewe kimbia fasta na kuanza kusachi mifukoni...lazima utakuta kama 100 x 3!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi hata chai umepewa wewe?

Naona mjukuu alikuwa anawahi namba hapa CC, utadhani ni dada mkuu wa St Kanumba Primary schoo...lol.l!!

Babu DC!!

Jamani Filipo yuko okay kabisa,kapata breakfast ya nguvu,baada ya morning glory!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…