Uzee uupate wapi?
Tatizo ni kukosa stadi za kusema uongo....
Hebu fuatilia mwenyewe.....
Baada ya hapo uache kuwalisha wajukuu zangu dozi ambayo ni toxic kama uliyomtisha nayo Erickb52!!
Babu DC!!
Hehehe, babu sasa mbona unakuwa mkali? Wakina michael jordan walistaafu kikapu wakarudi tena, mike tyson nae. Sasa umemsahau na muumin minjuma alisema amepata njia, mara akarudi ooh mapenzi ya Mungu. Kwa raha zako, kaka MziziMkavu ana tiba mbadala kama unahisi kwata bado unaliweza as long as haubadili kiwanja.
Mbona unajitetea hivyo!? Nilitaka kujua ulifikaje Arusha kimya kimya hivyo. Hayo ya kufanya nilikuwa bado sijauliza!
Hahaha, kitoweo kinachoondoa udhu (me and my evil mind, aaaggghhh)
Wewe unaishi dunia gani King'asti?
Watumishi wengine wanapata stater kule kule church (kuna kanisa halina kale kachumba ka kubadilishia nguo?), main course inafuata baada ya hapo....ndo maana wengine wakikosa the right menu wanafakamia hata majani!!
Kazi na dawa komando wangu!
Babu DC!!
Heeee babu ni mpenzi wako??
Kwa hiyo Madame B wewe ni bibi yangu eeeh
We nawe.
Ulienda mbaali nilivyotaja neno mpenzi.
Muone...
Khaaa Erickb52,nimemuita mpenzi yaani mpendwa.
Aisee rada zako ziko fasta sana.
Hakyanani bora nimekuwa teenager nikakuta ushaanza kuchomoka meno. For a minute nilijishawishi labda unaongelea nguruwe, kumbe nanihii! God forbid, i can do evil ila nahisi kwa mtumishi wa Mungu kinanihii kitapotea kabisa milele! Eeeh! God forbidoooo!