Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Uzee uupate wapi?

Tatizo ni kukosa stadi za kusema uongo....

Hebu fuatilia mwenyewe.....

Baada ya hapo uache kuwalisha wajukuu zangu dozi ambayo ni toxic kama uliyomtisha nayo Erickb52!!

Babu DC!!

Lolestination Babu DC!!!
Nakuja.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, babu sasa mbona unakuwa mkali? Wakina michael jordan walistaafu kikapu wakarudi tena, mike tyson nae. Sasa umemsahau na muumin minjuma alisema amepata njia, mara akarudi ooh mapenzi ya Mungu. Kwa raha zako, kaka MziziMkavu ana tiba mbadala kama unahisi kwata bado unaliweza as long as haubadili kiwanja.

Cha kufia ni nini King'asti?

Wengine tumeretire kweli kweli, siyo kama wabongo ambao badala ya kupumzika wanabadili profession, tena wanakimbilia kule kwa maleceb...siasa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona unajitetea hivyo!? Nilitaka kujua ulifikaje Arusha kimya kimya hivyo. Hayo ya kufanya nilikuwa bado sijauliza!

Kumbe hilo.
Shem niliamua tu.
Si unajua tena akina nanilii wa Zenji wasije tulipua.
 
Lolestination Babu DC!!!
Nakuja.

Hebu changamka Madame B....

Na ukumbuke, kufanya kitubi baada ya lunch ni sawa na kusafisha zizi la ng'ombe kwa kutumia maji taka...

Dakika zinayoyoma, shauri lako!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cha kufia ni nini King'asti?

Wengine tumeretire kweli kweli, siyo kama wabongo ambao badala ya kupumzika wanabadili profession, tena wanakimbilia kule kwa maleceb...siasa!!

Babu DC!!
Babu kuretire hadi familia mbaya
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, kitoweo kinachoondoa udhu (me and my evil mind, aaaggghhh)

Wewe unaishi dunia gani King'asti?

Watumishi wengine wanapata stater kule kule church (kuna kanisa halina kale kachumba ka kubadilishia nguo?), main course inafuata baada ya hapo....ndo maana wengine wakikosa the right menu wanafakamia hata majani!!

Kazi na dawa komando wangu!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu changamka Madame B....

Na ukumbuke, kufanya kitubi baada ya lunch ni sawa na kusafisha zizi la ng'ombe kwa kutumia maji taka...

Dakika zinayoyoma, shauri lako!!

Babu DC!!

Haya Mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Babu DC shughuli zangu za KIJAMII huwa nazifanya peke yangu!!!
Majeshi ya kukodi yanaweza yakapindua himaya!!!!

Haya....endelea kupata ushauri wa wakili wako jinsi ya kuandika maelezo...

Tuhuma bado zipo tena ni kubwa kichizi!!

Babu DC!!
 
Hakyanani bora nimekuwa teenager nikakuta ushaanza kuchomoka meno. For a minute nilijishawishi labda unaongelea nguruwe, kumbe nanihii! God forbid, i can do evil ila nahisi kwa mtumishi wa Mungu kinanihii kitapotea kabisa milele! Eeeh! God forbidoooo!
Wewe unaishi dunia gani King'asti?

Watumishi wengine wanapata stater kule kule church (kuna kanisa halina kale kachumba ka kubadilishia nguo?), main course inafuata baada ya hapo....ndo maana wengine wakikosa the right menu wanafakamia hata majani!!

Kazi na dawa komando wangu!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Heeee babu ni mpenzi wako??
Kwa hiyo Madame B wewe ni bibi yangu eeeh

Hebu na wewe uwe na adabu....

Huwezi kuwa unawaza vitumbua 24/7.....

Ndo maana nataka kuwaburuza mkapate shule kwenye VETA yetu na The Boss

We nawe.
Ulienda mbaali nilivyotaja neno mpenzi.
Muone...

Wasi wasi wako tu....mie ni mpenzi wa wa mamilioni ya wajukuu....

Ila nilitaka usianze kujidai eti una haki miliki!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Khaaa Erickb52,nimemuita mpenzi yaani mpendwa.
Aisee rada zako ziko fasta sana.

Achana na Erickb52...bado anasumbuliwa na mawenge...

Images za majibu yako ya kuchonga zimemwathiri maskini mjukuu wangu...

Hii kesi itakutesa sana Madame B....shauri lako..

Labda ukimbilie Korogwe kwa Shekh Majini akusaifishie nyota...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani bora nimekuwa teenager nikakuta ushaanza kuchomoka meno. For a minute nilijishawishi labda unaongelea nguruwe, kumbe nanihii! God forbid, i can do evil ila nahisi kwa mtumishi wa Mungu kinanihii kitapotea kabisa milele! Eeeh! God forbidoooo!

Hahahahahaha....

Anakuvuvia roho wa bwana na kila kitu kinakwenda kama vile kinatumia computer program....

Chezea watumishi wewe...utakuja kutusimulia wakati damage haiwezi kufanyiwa repair

Babu DC!!
 
Achana na Erickb52...bado anasumbuliwa na mawenge...

Images za majibu yako ya kuchonga zimemwathiri maskini mjukuu wangu...

Hii kesi itakutesa sana Madame B....shauri lako..

Labda ukimbilie Korogwe kwa Shekh Majini akusaifishie nyota...lol!!

Babu DC!!

Teh teh teh teh teh!
Halooooo....
Ye alivokuwa ananiuliza,alitegemea nini?
Afu alikuwa kanywea maskini ya Mungu.
Sijui alikuwa anataka nini.
Babu DC Nisaidie kumuuliza Erickb52.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom