Unajifanya huna swali wakati umeniPM nimuulize pale alipoombwa tigo jamaa angebembeleza zaidi angetoa au asingetoa?
Unaogopa kumuuliza mwanamke mwenzio unanirushia mi mpira. Mwone vile.
Haya Madame B hebu mjibu mwanamke mwenzio. Ungetoa?
Wanaume humu viroho vinawadunda wakiomba Mungu watajwe na hivi umesema huko nyuma umejaaliwa mashaallah!!!!!
Tajaa ndo itakuwa afya zaidi, afu mkadate au mliishia kuhisi mnapendana??????????
Natahadharisha km jamaa ana mtu, huyo mtu wake atulize boli asiharibu talk show.
hongera sana shost kwa kufunguka bila haya!
me nina swali moja tu la kizushi....
Je ushawahi kugonganisha magari a.k.a mabwana??? je waligundua ama hawakugundua??? kama waligundua ulijiteteaje???
Rais yupi? Wa TFF? wa Yanga? wa TOC? au huyu jirani yangu?
Kama ni huyu jirani yangu Madame B nakushauri usimshauri chochote kwakuwa ushauri wako utasikilizwa na kupuuzwa.
hongera sana shost kwa kufunguka bila haya!
me nina swali moja tu la kizushi....
Je ushawahi kugonganisha magari a.k.a mabwana??? je waligundua ama hawakugundua??? kama waligundua ulijiteteaje???
NakuPM ID yake.
Unajisikiaje unapopata mchumba wako halafu wanaibuka watu pembeni na kuanza kuwachafua ili msifike mbali?
Je huwa unawachukuliaje hawa watu?
Unajisikiaje unapopata mchumba wako halafu wanaibuka watu pembeni na kuanza kuwachafua ili msifike mbali?
Je huwa unawachukuliaje hawa watu?
Dah kajibu teh ameongeza kwenye ile idadi ua watano wamefika sitaDuh, hivi ilikuwaje tulisahau hili swali muhimu namna hii.. charminglady nitakuwa show moja uirushe, inaonekana una vijiswali vya kizushi vingiiii, unafaa sana weye!!!!!!!!!!
haya Madame B, umjibu Shostito
haya hayaaaa! shost Madame B nipe raha na sukari ya labour ulijisikiaje siku hiyo?
Yani bora mpenzi wangu ulivokuja.
Yani wananikera hawajijui tu.