Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Asante shost.
Hlo tena.
Kama kuteleza juu ya tiles.
Ila uzuri wake walikuwa wanajuana.
Afu walikuwa hawaoneani wivu.
Si unajua cha wizi kinanoga?

wasiooneana wivu ni waume za watu tu..... teh teh ila ingelikuwa ni vijana kama Erickb52 na Nicas Mtei hakika wangekubong'oa lolest!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimejikuta sina swali sijui kwa sababu mwanamke mwenzangu
 
Back
Top Bottom