Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi ndio nawafungulia geti wakija KinoClain...
kwa hiyo wewe ndo geti kipa wake bimdada..
mi ndio bwana shemeji wa ukweeh...
maana nilijua getikipa kumbe bishosti ni dadako enheee...
Haswaa hatutaki shobo............ charminglady umesikia?
Halafu nimewamiss lol
Hahahahaaaa BADILI TABIA unajua niliimagine tu..tobaaaaaa mwanaume una balaa wewe..........
Heheheheeee na kwa taarifa yako niko Sauti kwenye Graduu wala usintafute charminglady siunajifanya hujanimisssie hatujakumiss wallah!!!!!
Heheheheeee na kwa taarifa yako niko Sauti kwenye Graduu wala usintafute charminglady siunajifanya hujanimiss