Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Unajifanya huna swali wakati umeniPM nimuulize pale alipoombwa tigo jamaa angebembeleza zaidi angetoa au asingetoa?

Unaogopa kumuuliza mwanamke mwenzio unanirushia mi mpira. Mwone vile.

Haya Madame B hebu mjibu mwanamke mwenzio. Ungetoa?

Ningeangalia Upepo kwanza.
Kama nampenda simpi na kama simpendi simpi.
Hahahaha.
 
Last edited by a moderator:
hongera sana shost kwa kufunguka bila haya!
me nina swali moja tu la kizushi....
Je ushawahi kugonganisha magari a.k.a mabwana??? je waligundua ama hawakugundua??? kama waligundua ulijiteteaje???
 
Rais yupi? Wa TFF? wa Yanga? wa TOC? au huyu jirani yangu?

Kama ni huyu jirani yangu Madame B nakushauri usimshauri chochote kwakuwa ushauri wako utasikilizwa na kupuuzwa.

namaanisha Mkweere...hao wengine ni picha za marais
 
Last edited by a moderator:
hongera sana shost kwa kufunguka bila haya!
me nina swali moja tu la kizushi....
Je ushawahi kugonganisha magari a.k.a mabwana??? je waligundua ama hawakugundua??? kama waligundua ulijiteteaje???

Asante shost.
Hlo tena.
Kama kuteleza juu ya tiles.
Ila uzuri wake walikuwa wanajuana.
Afu walikuwa hawaoneani wivu.
Si unajua cha wizi kinanoga?
 
Katika jamii unapokuwa na mpenzi wako kuna watu huwa wanaibuka from no where na kuanza kuwachafua ili msifike mbali?either kwa kutoa taarifa ya uzushi dhidi ya mwenzi wako and vice versa,
je ushawahi kukutana nao hao watu?
Je huwa unawachukuliaje hawa watu katika jamii?
 
Duh, hivi ilikuwaje tulisahau hili swali muhimu namna hii.. charminglady nitakuwa show moja uirushe, inaonekana una vijiswali vya kizushi vingiiii, unafaa sana weye!!!!!!!!!!

haya Madame B, umjibu Shostito
Dah kajibu teh ameongeza kwenye ile idadi ua watano wamefika sita
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom