Asante shost.
Hlo tena.
Kama kuteleza juu ya tiles.
Ila uzuri wake walikuwa wanajuana.
Afu walikuwa hawaoneani wivu.
Si unajua cha wizi kinanoga?
Yaani hapa umemvimbisha kichwa we hujui tu, akiguswa hata na unyoya anabasti...
Mh!
Kwa kuwa sijaachana nae kwa ubaya wala ugomvi,ninaweza nikamfikiria.
Japo si kwa 100%!!
Wera weraaaaaaaaaaa!
Aibu yao aibu yetuuuuuu?
99.9% siyo 100%. Ngoja nikamtafute ex wangu banaaaaa!
Hehehehehe! mi ndo maana sitaki kuwajua maex wa bibi yenu bana.... Nsije nikamsokomezea mvulana wa watu kitu chenye ncha kali kwenye makalio.
Mahawara hawaachani. Source: Fidel80
Duh, wewe kweli mtu wa Tanga, huwezekani kwa limbwata, yaani madume yote mawili yakagwaya, lakini mtoto umetulia ka maji ya mtungi,
kama nakuona vile ulivyowatuliza
"Heeee, mniwache nipumuwe, kama mmekasirika piganeni na atakayeshinda ndio ataondona na mie"
Uliza la kwako
Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.
Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.
Oyaaa, kutongoza maroufouk, tuma PM kama umeuzimikia mzigo, mweh, wanaume!!!!!!!!!!!!!!
Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.
Aweza kwenda uvinza huyo, asije ikoholea kwa kupaliwa bure
Afanaaaleki, kufa hakuna breki.
Waume za watu wanavyopenda tigo, ulisalimika kweli mrembo?
Najua utanijibu baadae, sina haraka kama cha kwanza.
......walah akuanzae mmalize!.
Haaaaa..!!!
.hahaha hubby una balaa wewe!......