Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Asante shost.
Hlo tena.
Kama kuteleza juu ya tiles.
Ila uzuri wake walikuwa wanajuana.
Afu walikuwa hawaoneani wivu.
Si unajua cha wizi kinanoga?

Duh, wewe kweli mtu wa Tanga, huwezekani kwa limbwata, yaani madume yote mawili yakagwaya, lakini mtoto umetulia ka maji ya mtungi,

kama nakuona vile ulivyowatuliza

"Heeee, mniwache nipumuwe, kama mmekasirika piganeni na atakayeshinda ndio ataondona na mie"
 
Wera weraaaaaaaaaaa!
Aibu yao aibu yetuuuuuu?

99.9% siyo 100%. Ngoja nikamtafute ex wangu banaaaaa!

Hehehehehe! mi ndo maana sitaki kuwajua maex wa bibi yenu bana.... Nsije nikamsokomezea mvulana wa watu kitu chenye ncha kali kwenye makalio.

Mahawara hawaachani. Source: Fidel80

...yarabi....
 
Last edited by a moderator:
Duh, wewe kweli mtu wa Tanga, huwezekani kwa limbwata, yaani madume yote mawili yakagwaya, lakini mtoto umetulia ka maji ya mtungi,

kama nakuona vile ulivyowatuliza

"Heeee, mniwache nipumuwe, kama mmekasirika piganeni na atakayeshinda ndio ataondona na mie"

Me ndo Madame B.
Wengine fake.
Hapana chezea mtoto wa KinoClain.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom