Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Mh!
Kwa kuwa sijaachana nae kwa ubaya wala ugomvi,ninaweza nikamfikiria.
Japo si kwa 100%!!

Wera weraaaaaaaaaaa!
Aibu yao aibu yetuuuuuu?

99.9% siyo 100%. Ngoja nikamtafute ex wangu banaaaaa!

Hehehehehe! mi ndo maana sitaki kuwajua maex wa bibi yenu bana.... Nsije nikamsokomezea mvulana wa watu kitu chenye ncha kali kwenye makalio.

Mahawara hawaachani. Source: Fidel80
 
Last edited by a moderator:
Ok sawa....naona Zinduna analitaka kunitoa roho lol

Swali la 6:

Je umeshawahi kutendwa au kumtenda mwanaume?

Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.

Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.
 
Kazi kweli kweli..
 
Ok sawa....Swali lako limenifanya nipate swali jingine dogo...

Swali DOGO:
Je ushawahi kuwa na wapenzi wangapi tangu uanze kushiriki mautamu!
 
Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.

Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.

Ulijuaje kama si rizki? ulimpiga stata kwenye kinyeo au?
Na mpaka muende ukweni mzembe alikuwa bado hajasokomezeamo ndani yako kidungurusi chake?
Najua haya maswali utanijibu baadae
 
Kiukweli toka moyoni nimewahi kuwa na wapenzi 4 tu.
Lol.
Sawa usishangae kuna watu wakiwajumlisha wakwao wanaongeza zero mbili mbele yani 4 +00 inakuwa 400 teh

Swali la 7:
Je alishawahi kutembea na mume wa mtu au kutembea na bwana wa rafiki yake japo kwa one night stand (ile ya chapchap katika mazingira tata)
 
Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.
 
Hapa sasa ndo lazima tudanganywe sasa. Subirini muone....
 
Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.
Ok pouwa so tunamjumlisha kwenye ile idadi yetu ya watu wa 4 wawe watano 5 coz nahisi ulimsahau!

Swali la 8:
​Je umewahi kuchezwa unyago? Kama umewahi kuchezwa unyago Je unadhani mafunzo hayo bado yana tija kwa kiza hiki cha Dot Com? Wewe yamekusaidiaje?
 
Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.

Afanaaaleki, kufa hakuna breki.

Waume za watu wanavyopenda tigo, ulisalimika kweli mrembo?

Najua utanijibu baadae, sina haraka kama cha kwanza.
 
Back
Top Bottom