Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Swali la kizushi:
Je huyo wa zamani ukikutana nae akikuomba kamchezo mkumbushie utamkatalia?
Mh!
Kwa kuwa sijaachana nae kwa ubaya wala ugomvi,ninaweza nikamfikiria.
Japo si kwa 100%!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la kizushi:
Je huyo wa zamani ukikutana nae akikuomba kamchezo mkumbushie utamkatalia?
Swali la kizushi:
Je huyo wa zamani ukikutana nae akikuomba kamchezo mkumbushie utamkatalia?
Mh!
Kwa kuwa sijaachana nae kwa ubaya wala ugomvi,ninaweza nikamfikiria.
Japo si kwa 100%!!
Swali la kizushi:
Je huyo wa zamani ukikutana nae akikuomba kamchezo mkumbushie utamkatalia?
Ok sawa....naona Zinduna analitaka kunitoa roho lol
Swali la 6:
Je umeshawahi kutendwa au kumtenda mwanaume?
Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.
Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.
Ok sawa....Swali lako limenifanya nipate swali jingine dogo...Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.
Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.
Ok sawa....Swali lako limenifanya nipate swali jingine dogo...
Swali DOGO:
Je ushawahi kuwa na wapenzi wangapi tangu uanze kushiriki mautamu!
Kutendwa kupo.
Niliwahi kuachwa na mchumba kisa tu,sikutaka kushiriki kimapenzi na kaka yake ambae alifiwa na mkewe.
Nami pia nilishatenda sana wanaume,maana ukija kwa gia mbaya,nakutoa jasho.
Ndio nilishawahi kumkataa mchumba ukweni,tena katikati ya sherehe baada ya kugundua,si rizki.
Sawa usishangae kuna watu wakiwajumlisha wakwao wanaongeza zero mbili mbele yani 4 +00 inakuwa 400 tehKiukweli toka moyoni nimewahi kuwa na wapenzi 4 tu.
Lol.
Je? Katika pita pita yako hujakutana na mkono wa swata? Na kama ulikutana nao ulijisikiaje?
Sawa usishangae kuna watu wakiwajumlisha wakwao wanaongeza zero mbili mbele yani 4 +00 inakuwa 400 teh
Swali la 7:
Je alishawahi kutembea na mume wa mtu au kutembea na bwana wa rafiki yake japo kwa one night stand (ile ya chapchap katika mazingira tata)
Akimkatalia mi nabadili dini!
Sawa usishangae kuna watu wakiwajumlisha wakwao wanaongeza zero mbili mbele yani 4 +00 inakuwa 400 teh
Swali la 7:
Je alishawahi kutembea na mume wa mtu au kutembea na bwana wa rafiki yake japo kwa one night stand (ile ya chapchap katika mazingira tata)
Ok pouwa so tunamjumlisha kwenye ile idadi yetu ya watu wa 4 wawe watano 5 coz nahisi ulimsahau!Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.
Kazi kweli kweli..
Yah,niliwah kutembea na mume wa mtu na si kwa kupenda,bali mkewe alikuwa ananisimanga kila kukicha,
ndipo nami nikafanya kweli.
Japo sitaki kukumbuka lile tukio.