Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Last edited by a moderator:
Dah!
Swali la mtego,na naomba huo mtego nisiufyatue.
Wote napenda post zenu,hasa wewe na babu,Archuga,mwanafnz wangu,DaAsha,mashost zangu,wapambe wangu,mpenzi Chimbuvu,Chilli,tedo,mamodereta,Rutta wangu na memberz woote.

Hii post imenifariji kichizi...
 
Erickb52 nakushukuru sana kwa kunipelekesha puta ktk Interview hii,Shukrani kwako. Zinduna,Shoo iko bomba sana na nimeipenda. Chimbuvu,nakupenda Sweetilo Yaani dah.....!!!!!!!!!! Arushaone luv uuuu.....!!!!!! Chilli, tedo, Ruttashobolwa Nawapendeni sana.
@FP, charminglady, Baba V, Asprin afu wewe ngoja nije Boko utantambua. ndetichia, eliah G. Kamwela, KOKUTONA, watu8 shem tuko pamoko, Nicas Mtei kaka,Pamoko. Filipo salute, Ciello dada,sana tuuuu.
@Zuedayo_mchuzi, sweetlady mambo.
Jamani na wale wooooote waliokuwa wananichungulia nasema hv,
NAWAPENDA SAAAAAAAANAAAAAAAAA................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Poa Madame B na hongera kwa majibu yako mazuri. Mimi penda wewe pia!
 
Last edited by a moderator:
Hapo panatosha!
Sawa sasa nawakaribisha wadau woooooote yan kwa kuwataja nitachukua muda mwingi ila tedo Chimbuvu Baba V Ruttashobolwa Bishanga The secretary cielo lara 1 sweetlady PakaJimmy Arushaone Kaizer Dark City Preta njooni tuanze session ya pili kwa Madame B

Mkuu erick B52 , madame b kanifanya mbaya sana kumbe aliweka vijeba tayari ili kutudhibiti mm na Chilli tusiingie kwenye shoo...kwa bahati Chilli alifanikiwa kukimbia ila mm walinishika ndo wameniachia saa kumi hii jioni...
 
Last edited by a moderator:
Chilli una swali lolote?

Nilitoka kidogo lakini haidhuru,
Madame B kuna kitu gani kibaya ambacho ushawahi fanya for the sake of love na bado ulomfanyia akaja kuzingua?
Uko interested na politcs? Nani ni role model wako?
 
Last edited by a moderator:
Ndo kupenda kumekufanya kipofu eeh! kamati sio zetu ni za chit.chat na hakuna member aliye juu ya sheria, as far as your relationship is concerned, my word is final and irrevocable, nimeongea kikristu kuonyesha usirias

ha ha ha ha ha!!
Hii kikristu ni copy and paste ya 3 ****** Baba V!
 
Mr Rocky unantega.
Ok binafsi vitu ambavyo sivipendi maishani mwangu ni hivi:
1. Kushea mwanaume na mwanamke mwenzangu,
2. Kutongozwa Bar au Club,
3. Uzinzi, Wizi,
4. Kubituliwa,
5. Kuchukua mali ya mtu....Lol.....!!!!!!!!!!!

Baba V tedo na Rutta mnaizungumziaje hiyo namba 3?!
 
Last edited by a moderator:
nahisi next week ni wewe!kaa chonjo!

Ili niwambie nini?

Labda tuanzishe ya kwetu ya 1947!

Nyie dot com mnapeana utadhani ni mchanga mmeuchota pwani wakati wenzenu tumekuja kuona mapaja tu ya hawa watu tukiwa na meno yetu yote 32+/- 1! Na hapo usiulinze kuwa tumeonjeshwa tukiwa na miongo mingapi!

Story zetu nyie tuachie wenyewe!
 
Back
Top Bottom