Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Erickb52 nakushukuru sana kwa kunipelekesha puta ktk Interview hii,Shukrani kwako. Zinduna,Shoo iko bomba sana na nimeipenda. Chimbuvu,nakupenda Sweetilo Yaani dah.....!!!!!!!!!! Arushaone luv uuuu.....!!!!!! Chilli, tedo, Ruttashobolwa Nawapendeni sana.
@FP, charminglady, Baba V, Asprin afu wewe ngoja nije Boko utantambua. ndetichia, eliah G. Kamwela, KOKUTONA, watu8 shem tuko pamoko, Nicas Mtei kaka,Pamoko. Filipo salute, Ciello dada,sana tuuuu.
@Zuedayo_mchuzi, sweetlady mambo.
Jamani na wale wooooote waliokuwa wananichungulia nasema hv,
NAWAPENDA SAAAAAAAANAAAAAAAAA................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Afu wewe.. Mbona hujanipgia? Ai lavyu yu mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, yaani usinikumbushe manake kesho jumapili morning glory ni.kwa padre massawe. Nampenda sana Mungu but i wish ibada ingekuwa jioni, mweeh! Madame B, polee. Raha ya maisha ni kuamka nao aisee.

Umenikumbusha jambo, kuna watu humu jamvini hawajui faida za 6x6, ati wanasema vinalegeza ndoa, ila kwa hii Morning glory wanakosa mambo! Mi huwa naendaga sunday school ili asubuh nipate haki yangu! Kuna haja gani kwenda kwa padri Baptiste hali uso umefubaa, una hasira hata na padri anayehubiri kwa kujiuliza misa itaisha saa ngapi ukaipate haki yako?
 
Babu, kwani ina maana wewe meno yeshakuwa butu, morning glory huiwezi tena? Angalia bibi asianze utukutu, life starts at 40, wenzio hapa graph inakwea Paw karibia anakimbia nyumbani sasa.

Hivi wewe binti komando King'asti, neno kustaafu lina utata wowote?

Halafu, unadhani mdoli wa mtoto una maana yoyote kwake kama hajui na hawezi kuuchezea?

Basi kuanzia siku ya leo, wambie na wadogo/dada zako walitambue hili kuwa wanaume ni midoli yenu...

Kama kumkishindwa kumaximize returns shauri yenu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha jambo, kuna watu humu jamvini hawajui faida za 6x6, ati wanasema vinalegeza ndoa, ila kwa hii Morning glory wanakosa mambo! Mi huwa naendaga sunday school ili asubuh nipate haki yangu! Kuna haja gani kwenda kwa padri Baptiste hali uso umefubaa, una hasira hata na padri anayehubiri kwa kujiuliza misa itaisha saa ngapi ukaipate haki yako?

Hivi ni lazima iwe asubuhi?

Kwa ikiwa mchana kama ya Wahindi hainogi?

Enzi zangu mie na wahindi tulikuwa twala sahani moja!!

Babu DC!!
 
Soki, Kaizer, nemic4u,babu Dc,nicas Mtei, madame B, tedo, Mzalendo, marejesho, manoah...mkalale jamani khaaa....mbona mko tu hapo chini? Wake na waume zenu wanawasubiri kwaajili ya tamutamu.
 
Soki, Kaizer, nemic4u,babu Dc,nicas Mtei, madame B, tedo, Mzalendo, marejesho, manoah...mkalale jamani khaaa....mbona mko tu hapo chini? Wake na waume zenu wanawasubiri kwaajili ya tamutamu.

hujui kama weekend?
Namalizia 'cha mwisho' hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom