Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Pacha ukipenda Kulia au Kushoto, we anza tu.... Ila lazima Nikapate mafunzo kwa vitendo kwa Madame B. :car:

TANMO yaonekana kwako kumewambwa ngoma!
Ushatemwa na wawili.
Njoo kozi,malipo tutaongea kiutu uzima.
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa kipisi cha mbuni, wallah tungefulia utomvu wa papai. Nenda urudi na teitei mkononi, umeona cv ya Madame B?

Afu king'asti hyo CV nataka nikaombee U-Modereta JF.
Ongea na shem Paw anipigie Pande pale kati.
Si unajua mjini kujuana.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
madame B una mambo weye bibie we acha tu!!
Nataka uwe mgeni wangu siku ya leo je yawezekanabibie?

Khaaa....
Mr Kicheko,
huo ugeni salama kweli?
Naona umemsubiri mkeo aende kanisani ndo utuchungulie humu.
Haya nikishakuja,twafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Afu we Host wangu mbona mpana hvo?
Siri za mgeni wazitoa nje?
Tutakutana Tanga, na utanitambua.
Labda nisikukamate.

Acha kumtisha hoster wetu ana mning'inio bhana! BTW huyo mkongomani vepe?
 
Acha kumtisha hoster wetu ana mning'inio bhana! BTW huyo mkongomani vepe?

Arushaone, Chimbuvu wangu sio Mkongomani mbana pua,ni m'bantu pure.
Afu nimekwambia kule Tanga ufanye booking ya chumba kimoja,mimi na wewe ili tusave Pesa.
Ole wako ujitie kusahau.
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe unatakaje?
nataka nikupe mwaliko tuonane nje ya jamvi nipate kukujua zaidi, kama upo fresh tuungane Dar live siku ya leo but usije na shoga zako

Unamdhalilisha Madame B. Yani atoke Kino Clain aje Dar Live Mbagala? Are u serious? Unadhan ye ni mtoto?
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe unatakaje?
nataka nikupe mwaliko tuonane nje ya jamvi nipate kukujua zaidi, kama upo fresh tuungane Dar live siku ya leo but usije na shoga zako

Hee...!!!
Kumbe hela zako zenyewe za kuungaunga?
Kwaheri.
 
Back
Top Bottom