Zinedine Zidane kala shavu Qatar

Acha hivyo ndugu. Waarabu wanaakili sana ukilinganisha na sisi waafrika. Tukubali sisi kwenye mpira ni ZERO KABISA

Morocco
Algeria
Egypt
Tunisia

Ni waarabu sio waarabu? Mbona wako juu kisoka zaidi ya mataifa mengine ya afrika!!
Hawa umewataja wanatesa huku huku Afrika, mashindano ya kimataifa huwa hamna kitu.
 
Bora wapewe kina ZIDANE sisi waswahili haki ya nani kale ka ugonjwa ni halali yake maana wanawake woooote wangevuliwa aisee
Hizi hela huwa wanafanyia nini? Yaani kwa siku tu unapata hela zaid ya mshahara wa miaka 10 wa vijana 10 hapa mjini tena wanaamka 11 asubuhi wanarudi 4 usiku.
Ama kweli makinikia sio madini[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
nacheka ila bado nawaza kwa mbali kwamba mfano Mchambuzi kama Mwalimu Kashasha au Dr Leakey wakawa makocha ina mana kuna masomo ya ukocha ambayo ni tofauti yanayofundishwa kwa nchi za ulaya na afrika au ni umaarufu wa kocha ndio unampa dili tamu kama hilo la mabilioni au ni uelewa mkubwa wa mbinu za mpira au kismati tu
 
Mtoa mada hesabu zako umezipiga vibaya ni shillingi mil 110 kwa siku, ila hata hivyo dunia haipo sawa kabisa hii hela wengine wanaipokea wakiwa wastaafu kama hela ya pensheni.
sawa mkuu au labda ni before makato ya kodi za huko Qatar ...£120,000 ni 365 m za kwetu bongo ..hata kama itkatwa hadi kufikia 110 ni ndefu sana kwa siku ina mana ndani ya wiki ana milioni 700 za tanzania
 
PATIGOO
Ungeweka chanzo cha habari kwenye huu uzi

Nimeangalia vyanzo vingine bado ni tetesi so ingekuwa vizuri ukatupia link ya chanzo cha habari hii
Mkuu hizi bado ni tetesi tu.!
Hata hiyo picha ni ya kipindi kile alipokua anasupport Qatar kuandaa WC 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…