Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wapewe kina ZIDANE sisi waswahili haki ya nani kale ka ugonjwa ni halali yake maana wanawake woooote wangevuliwa aiseeduuuu million 365 per day!!!
Kuna Watu wanabahati aiseee
Watu wenye juhudi zao.Watu wenye bahati zao
Kwa siku ni kama milioni 109,589 na ushee kwa siku za kiTz, sio 365 milioni per day!duuuu million 365 per day!!!
Kuna Watu wanabahati aiseee
Hawa umewataja wanatesa huku huku Afrika, mashindano ya kimataifa huwa hamna kitu.Acha hivyo ndugu. Waarabu wanaakili sana ukilinganisha na sisi waafrika. Tukubali sisi kwenye mpira ni ZERO KABISA
Morocco
Algeria
Egypt
Tunisia
Ni waarabu sio waarabu? Mbona wako juu kisoka zaidi ya mataifa mengine ya afrika!!
Bora wapewe kina ZIDANE sisi waswahili haki ya nani kale ka ugonjwa ni halali yake maana wanawake woooote wangevuliwa aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi hela huwa wanafanyia nini? Yaani kwa siku tu unapata hela zaid ya mshahara wa miaka 10 wa vijana 10 hapa mjini tena wanaamka 11 asubuhi wanarudi 4 usiku.
Ama kweli makinikia sio madini[emoji23]
Zidane ni mzoefu..na mpira anaujua, vipaji vingi vitapatikana.Kuhusu uwezo wa Qatar kwenye soka hilo wazo usahau kabisa
kweli Mkuu [emoji2] [emoji2]Bora wapewe kina ZIDANE sisi waswahili haki ya nani kale ka ugonjwa ni halali yake maana wanawake woooote wangevuliwa aisee
per week mkuu.duuuu million 365 per day!!!
Kuna Watu wanabahati aiseee
sawa mkuu au labda ni before makato ya kodi za huko Qatar ...£120,000 ni 365 m za kwetu bongo ..hata kama itkatwa hadi kufikia 110 ni ndefu sana kwa siku ina mana ndani ya wiki ana milioni 700 za tanzaniaMtoa mada hesabu zako umezipiga vibaya ni shillingi mil 110 kwa siku, ila hata hivyo dunia haipo sawa kabisa hii hela wengine wanaipokea wakiwa wastaafu kama hela ya pensheni.
Hahahah..........Si mwalgeria kwanini asijue lugha kubwa duniani! Na ndiyo lugha pekee tutakayokumbananayo kaburini.
Na spanish pia anajuaZidane anazungumza kwa UFASAHA lugha sita
KiAlgeria, Kiarabu, Kifaransa, Kingereza, Kiitaliano and Kiberber(North Africa)
Kialgeria? Nina wasiwasi kama hiyo lugha inaexistZidane anazungumza kwa UFASAHA lugha sita
KiAlgeria, Kiarabu, Kifaransa, Kingereza, Kiitaliano and Kiberber(North Africa)
Una maana 109,589,000,000 kwa siku?Kwa siku ni kama milioni 109,589 na ushee kwa siku za kiTz, sio 365 milioni per day!
Mkuu hizi bado ni tetesi tu.!PATIGOO
Ungeweka chanzo cha habari kwenye huu uzi
Nimeangalia vyanzo vingine bado ni tetesi so ingekuwa vizuri ukatupia link ya chanzo cha habari hii