Zinedine Zidane kala shavu Qatar

Zinedine Zidane kala shavu Qatar

Congratulations Zizou japo mimi hua si mmoja wa Fans wako...mimi hua namkubali Ronaldo De Luis Nazario Lima...ni kweli Perez alikua amkubali Zidane pia Ronaldo na Perez haziivi nazan Ronaldo ataondoka Madrid soon...wachezaji walikua upande wa Zidane
 
De lima ni mchanga sana kwa ustazi..ni kama mbingu na ardhi
 
Ustazi mwepesi hajawahi kua star ata wa miaka mitatu kilichompa umaarufu ni mechi moja tu ya fainali 1998 pale state de france .....ambayo ilikua France Vs Brazil ila ni mwepesi sana ndio maana ata Perez hamkubali kwa kifupi ana kikosi bora ila si mtaalam wa mbinu za ukocha ata ilo shavu la quatar ni bahati na jina tu....kiufupi ata ikiangalia kina Maradona mara nyingi star kua kocha mzuri hua ni nadra sana
 
Kwa haraka haraka mimi mtazamo wangu ni kuwa Zidane alipaswa kuondoka ili kuacha Legacy yake pale Bernabeu. Kwa mafanikio aliyoyapata ni ngumu saana msimu ujao Madrid kuendelea kuyapata sababu kuu ni kwamba timu muda wowote inaanza kuchoka, Ronaldo, Kroos, Modric, Ramos, Marcelo n.k umri umeanza kuwatupa mkono.

Ili kulinda heshima yake ameona ni bora aondoke tu kuendelea kumkuta ambayo yalimkuta Wenger ama kupata aibu ya kutimuliwa.
 
Amefanya haraka. Angetulia. Bado alitakiwa kufanya kazi na vilabu vya ulaya. National timu haina changamoto za kila wiki kama ligi. Zizou hajawa na exprience kama makocha wengine. Katoka Castilla na kuanza kuifundisha madrid ambayo hajaijenga yeye. Angefuata nyayo za Pep na Luis Endrique.

Kwangu mimi naona amefanya maamuzi mabovu.
 
Nchi za kiarabu zimebarikiwa saana kuwa na mali nyingi hasa mafuta. Kumlipa mtu mshahar wa takribani mil 360 kwa wiki si mchezo si mchezo.

Sisi hapa kulipa walau mil 10 kwa mwezi ni mbinde hatari hatari; vikao vingiiii
 
Amefanya haraka. Angetulia. Bado alitakiwa kufanya kazi na vilabu vya ulaya. National timu haina changamoto za kila wiki kama ligi. Zizou hajawa na exprience kama makocha wengine. Katoka Castilla na kuanza kuifundisha madrid ambayo hajaijenga yeye. Angefuata nyayo za Pep na Luis Endrique.

Kwangu mimi naona amefanya maamuzi mabovu.
Acha achukue hizo hela za waarabu mkuu
 
Hivi hii habari ilikua April fools?
Picha ya zamani Sana iliyotumika, alipiga Zidane akiwa balozi wakati Qatar inawania nafasi ya ku host world cup.
 
Ustazi mwepesi hajawahi kua star ata wa miaka mitatu kilichompa umaarufu ni mechi moja tu ya fainali 1998 pale state de france .....ambayo ilikua France Vs Brazil ila ni mwepesi sana ndio maana ata Perez hamkubali kwa kifupi ana kikosi bora ila si mtaalam wa mbinu za ukocha ata ilo shavu la quatar ni bahati na jina tu....kiufupi ata ikiangalia kina Maradona mara nyingi star kua kocha mzuri hua ni nadra sana
Acha urongo!!
 
Back
Top Bottom