Kivipi wataalamu wanawapa kazi wengine mkuu?haya mambo ya PDF, hao unaowaita wataalam utawapa kazi nao pia watawapa kaz mafund wengine..na mataalam wako akijisahau tu wataharibu nyumba vilevile,mafundi wazuri wapo wengi kikubwa usimamizi tu.
Lilinikuta hili aisee, nisingekuwepo site milango na madirisha ingekosewa sana vipimo, nilimpa engineer kazi naye akawapa watu wengine, tyaani mainjinia siku hizi ni madalali wa kazi, arooo, bahati nzuri ukiwa unasimamia inakuwa poa sanahaya mambo ya PDF, hao unaowaita wataalam utawapa kazi nao pia watawapa kaz mafund wengine..na mataalam wako akijisahau tu wataharibu nyumba vilevile,mafundi wazuri wapo wengi kikubwa usimamizi tu.
Ilikuwa ni jengo la ghorofa ngapi?Lilinikuta hili aisee, nisingekuwepo site milango na madirisha ingekosewa sana vipimo, nilimpa engineer kazi naye akawapa watu wengine, tyaani mainjinia siku hizi ni madalali wa kazi, arooo, bahati nzuri ukiwa unasimamia inakuwa poa sana
Kama umeelewa vzr maada ni kwamba kitaalamu nyumba zinajengwa zikae miaka 50 au zaidi.Na unatumia mafundi wa kuunga unga au?
Fuatilia vzuri ujenzi wetu wabongoBado nafikiri ulichokisema@Mr MTUI
KiufupiFuatilia vzuri ujenzi wetu wabongo