MoseeYM
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 144
- 199
- Thread starter
- #21
Kivipi wataalamu wanawapa kazi wengine mkuu?haya mambo ya PDF, hao unaowaita wataalam utawapa kazi nao pia watawapa kaz mafund wengine..na mataalam wako akijisahau tu wataharibu nyumba vilevile,mafundi wazuri wapo wengi kikubwa usimamizi tu.