Zingatia haya wakati unafikiriaa kujenga, yatakusaidia

Zingatia haya wakati unafikiriaa kujenga, yatakusaidia

haya mambo ya PDF, hao unaowaita wataalam utawapa kazi nao pia watawapa kaz mafund wengine..na mataalam wako akijisahau tu wataharibu nyumba vilevile,mafundi wazuri wapo wengi kikubwa usimamizi tu.
Kivipi wataalamu wanawapa kazi wengine mkuu?
 
haya mambo ya PDF, hao unaowaita wataalam utawapa kazi nao pia watawapa kaz mafund wengine..na mataalam wako akijisahau tu wataharibu nyumba vilevile,mafundi wazuri wapo wengi kikubwa usimamizi tu.
Lilinikuta hili aisee, nisingekuwepo site milango na madirisha ingekosewa sana vipimo, nilimpa engineer kazi naye akawapa watu wengine, tyaani mainjinia siku hizi ni madalali wa kazi, arooo, bahati nzuri ukiwa unasimamia inakuwa poa sana
 
Ilikuwa ni jengo la ghorofa ngapi?
 
Unesema lif span ni 10years..mbona wengine hiyo 19years ndo muda ambao tunajenga
 
Ushauri mzuri sana, kunyumba jirani yangu ni mpya, hata kabla wapangaji hawajaanza kuhamia ikawa tayari ina nyufa nyuma kibao, sasa hvi baadhi ya vyumba hata ukimpeleka mteja anachomoka mbio.
 
Na unatumia mafundi wa kuunga unga au?
Kama umeelewa vzr maada ni kwamba kitaalamu nyumba zinajengwa zikae miaka 50 au zaidi.
Lakini inapotokea kuna 'kuneglect' au kupuuzia hatua za kitaalamu za ujenzi,nyumba huweza kuonesha kuchoka hata miaka 10 tokea kujengwa.
 
Kwa akili ya kawaida huwezi jenga nyumba kwa miaka 19.Halafu sehemu ulizozijenga miaka 19 ilopita zikabaki ktk ubora ule ule. Maana Hata nyumba iliyokamilika,isipokaliwa kwa muda mrefu ,ndani huonekana kama imechoka
 
Fuatilia vzuri ujenzi wetu wabongo
Kiufupi

Ni wachache wanaozingatia hatua stahiki za ujenzi.Bahati nzuri Tanzania tuna taasisi zinazojishughulisha na utafiti wa ujenzi wa makazi kama vile NHBRA I think tungewatumia vizuri,tungekuwa na makazi bora despite of Umasikini wetu.
 
Kwa vile tafiti nyingi wnazozifanya zinaprovide solutions kulingana na hali ya uchumi wetu
 
Back
Top Bottom