M Mwanasayansi Kalivubha JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 471 Reaction score 1,217 Oct 14, 2026 #1 Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
Wanatamani kuona mafanikio yako ila sio ya kuwazidi na hii ni hulka ya binadamu karibu wote hivyo ili kutoboa hapo ni kuwa MSIRI washitukie tu uko juu yao . #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha #Fikia ndoto zako
dragon5 Member Joined Oct 5, 2026 Posts 78 Reaction score 104 Oct 14, 2026 #2 co rafiki tu hata ndugu
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,523 Reaction score 30,053 Oct 14, 2026 #3 Ohooo ....sawa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Oct 14, 2026 #4 Sawa sawa.
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Oct 14, 2026 #5 Lakn sio wote japo ni weng.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Oct 14, 2026 #6 Ukifaniwa tu wanakua adui......