Zingatia kijana unayeanza kazi leo! (Mwajiriwa Serikalini na taasisi binafsi)

Kozo-Okamoto

New Member
Joined
May 3, 2025
Posts
1
Reaction score
11
Nilipoanza kazi miaka 20 iliyopita (Katika Taasisi moja ya serikali jiji Dar), ushauri mkubwa niliopewa na wale niliowakuta kazini ni kujenga nyumba. Walisema ukifanya kazi baada ya miaka 20 walau ukiwa umejenga nyumba hata 3 hadi nne hapa Dar za kupangisha utakuwa umetoboa. Nikasema naam, baada ya kumaliza mwaka nikaanza kukopa benki. Mil. 7, nyumba haikuisha, hapo baba, mama, wadogo zangu na baadae mke wote wananitegemea kipato hakitoshi. Niliona dunia chungu.

Baadae nikapata wazo, pamoja na shida zote hizi na kipato kidogo kwanini sisijiongezee thamani? Nikaanza kujirudisha shule, nikapiga chuo, bachelor, mara masters kwa ugumu sana lakini kukaja kunilipa. Nilipata kazi taasisi nyingine ya serikali ambayo inalipa zaidi na safari za kutosha. Hiyo ndiyo ikawa ahueni yangu na kujitoa kwenye madeni na kuanza kupiga hatua. Miaka 10 ya mwanzo ya kazi ni kama vile niliipoteza kwenye madeni na malengo hayakufanikiwa.

USHAURI:

1. Jiongee thamani: Mwajiri anapokuajiri anaangalia kile tu anachotaka utimize kwa sifa alizokuajiri nazo. Hivyo basi usipojiongeza thamani yako mwenyewe, ataendelea kukuona garasa wa kawaida tu. Utapiga makitaimu hapo hapo ulipo miaka nenda miaka rudi.

2. Shida nyumbani haziishi, hata upeleke kila kitu unachopata, bado hazitatosheleza. Peleka msaada nyumbani huku ukiangalia namna ya kujiboresha kwanza kabla ya kupeleka msaada zaidi.

3. Unaweza kujipa muda kwanza kabla ya kuoa ama kuolewa, walau miaka 5 ya mwanzo ya kuanza kazi. Itakupa nafasi nzuri ya kujipanga na kujiandaa za misuko suko ya huko mbeleni.
 
Kanachosumbua vijana wengi hawana mentorship wengie hawashauliki matokeo yake wanaharibikiwa mbelenI na muda umeshaenda, ila.ulichoandika ni 100% ukweli.
 
Madini mengi mkuu,hasa hiyo point ya 3 hapo ndo tunajichanganya.
 
Nilipoanza kazi miaka 20 iliyopita (Katika Taasisi moja ya serikali jiji Dar), ushauri mkubwa niliopewa na wale niliowakuta kazini ni kujenga nyumba. Walisema ukifanya kazi baada ya miaka 20 walau ukiwa umejenga nyumba hata 3 hadi nne hapa Dar za kupangisha utakuwa umetoboa. Nikasema naam, baada ya kumaliza mwaka nikaanza kukopa benki. Mil. 7, nyumba haikuisha, hapo baba, mama, wadogo zangu na baadae mke wote wananitegemea kipato hakitoshi. Niliona dunia chungu.

Baadae nikapata wazo, pamoja na shida zote hizi na kipato kidogo kwanini sisijiongezee thamani? Nikaanza kujirudisha shule, nikapiga chuo, bachelor, mara masters kwa ugumu sana lakini kukaja kunilipa. Nilipata kazi taasisi nyingine ya serikali ambayo inalipa zaidi na safari za kutosha. Hiyo ndiyo ikawa ahueni yangu na kujitoa kwenye madeni na kuanza kupiga hatua. Miaka 10 ya mwanzo ya kazi ni kama vile niliipoteza kwenye madeni na malengo hayakufanikiwa.

USHAURI:

1. Jiongee thamani: Mwajiri anapokuajiri anaangalia kile tu anachotaka utimize kwa sifa alizokuajiri nazo. Hivyo basi usipojiongeza thamani yako mwenyewe, ataendelea kukuona garasa wa kawaida tu. Utapiga makitaimu hapo hapo ulipo miaka nenda miaka rudi.

2. Shida nyumbani haziishi, hata upeleke kila kitu unachopata, bado hazitatosheleza. Peleka msaada nyumbani huku ukiangalia namna ya kujiboresha kwanza kabla ya kupeleka msaada zaidi.

3. Unaweza kujipa muda kwanza kabla ya kuoa ama kuolewa, walau miaka 5 ya mwanzo ya kuanza kazi. Itakupa nafasi nzuri ya kujipanga na kujiandaa za misuko suko ya huko mbeleni.
Hiyo namba tatu hapo ndo pa maana kuliko yote uliyoelezea
 
Back
Top Bottom