Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Profile yako inaonyesha umezaliwa mwaka 1988, lakini hapo juu unaongelea JKT ya Nyerere. Iliwezekana vipi ukahudhururia JKT kipindi cha Nyerere wakati umezaliwa 1988?

Naomba unielimishe.
View attachment 2256315
 
Ruvuma ni gereza la KITAHI,utalima mpaka uelewe.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mbona hujatuambia kua admission hua wanapunguza miaka?mfano miezi sita wana kuadmitt minne ila ukizingua inarudi..Afu zile x za blue sijui nyekundu zina maana gani....Umenikumbusha mbali sana nilipoingia tu jela nikapewa genge ujenzi....CL na manyapara wengine walimind sana walitaka niende kilimo ili wawe wananichomea all in all miaka iliisha na namba ilioza....Butimba miaka ile ya kina Kalikenya CL mnoko alipigwa beto akakata moto rip magereza palichafuka uongozi mzima ulipigwa reshuffle mpaka rpo...
 
Nicheki PM mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…