Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Wajameni nyie acheni tu!! JKT ya Nyerere je? achana na ya Mwinyi hii ya juzijuzi tu!...yaani ni usiombe kuingia huko eti kwa mujibu wa sheria..mwee!! kukimbia kila siku iendayo kwa Mungu kisa Ukaka mavu!

CHakula kikija panga foleni tu!! hakuna cha kusema sina Bakuri wala sahani utajua weye!! km vepe umeshiba pisha wengine tena faster!! sasa weye jifanye Lugumya uone moto wake!

utabebwa juu kwa juu unapigwa karinye karinye mpaka akili ikukae sawa.......mlioenda Opp. programme ya chama mnalijua hili fika! sitanii!!...Afande Mandevu, Magwega wa chiguru, Afande sipi, Sanga wewee wasikiege tu!

Sasa pote maboya kwenye Gwaride ujifange Nanga utalijua Jeshi la JKT!...jifanye utoroke uone moto wa kila rangi!! labda wende Mazimaaa!...wana rupango zao za kijeshi hapo lazima uyambe kifukuto kila siku dakika 45 unapigwa Drill!!

Jiwe msimuone vile alikuwa Nanga kweli!.......kuna kila aina ya miendo kule! Mfano mwendo wa kunyakua, kukwepa ndege, afande kajamba....nk sasa km ivo< si mleta mada ungekimbia weye??

Magereza kule ni nafuu kuna wstu wazima wengine wakubwa km kina Mbowe! lkn JKT wooote vijana aseee!!....sasa usiombe uwende mafunzo yakivita yaani ukiwa lele mama unakufa au kuwa kilema kabisaa!!

Mnapo chaji afande wanakuja na viboko vya ngozi wana chapa ili ukimbie mstari wa mbele ..mkifika huko mnako tarajia usiku mnaanza kuchimba maandaki tena faster! wawili wawili !!

kuna jamaa moja Dr Ndaro Essaba, yuko Arusha, yeye bana alijipa kaugonjwa kakudumu kila siku kamkono kamepinda amefunga pop tuuu!! hkn aliye jua ni Dr yule jamaa!

pale kila siku unaamka saa kumi, unaanza kunyakua tena amsha amsha yeynyewe unaweza kucheka lkn ita kuumiza!! ..afande anafanya hivi ''anachukua kajiwe anatupa kwenye bati ''taaa'' kazi kwako!

Hapo haijalishi ni siku kuu!! wala cha weekend Tatizo la mleta Mada hajapitia kote huku akaona mambo yalivyo ndo maana ameandika hapa!!...na hapo huja chaguliwa kwenda afisa Cadet!! huko inabaki siri!

Unashangaa kujaza lori mchanga kuruta?? yaani Mali ya Jeshi ichafuke kuruta uko hapo?? wewe ndo utakuwa lori! tena dakika sifuri mchanga umejaa! Na ujenzi unaanza palepale! kule walikuwa wanenda kwa malengo tu!

tatizo lenu mlikimbia jeshini ndo matokeo yake haya!! kuna wale wadogo ambao hawakulikuta tuna wasamehe!! lkn kwa wale mlio enda kwa mujibu wa sheria weee!! mnajua fika!! kina Mataka ni meneja siku hizi uwanja wa ndege!

Hapo bado zileee!! shule za Bure za Mwalimu Nyerere jamani weee!! form one unaitwa Nyoya, nyumbu, mgogo nk!! hasa waliko kuwa wamejaa wakurya kulee kanda ya ziwa!! hapo vilikuwa ni vituo vidogo vya ki-jeshi jamani mwee!!

japo kwa nje utakiona poa!! kifo ukilema ni nje nje!! ..kusoma ilikuwa km unaenda vitani sasa mpaka uje uzoee mazingira e bana weee!!...na wakati wa Mwinyi mabo yalianza kupoa sana lkn huko nyuma weee!
Profile yako inaonyesha umezaliwa mwaka 1988, lakini hapo juu unaongelea JKT ya Nyerere. Iliwezekana vipi ukahudhururia JKT kipindi cha Nyerere wakati umezaliwa 1988?

Naomba unielimishe.
View attachment 2256315
 
Maweni naona ndio gereza gumu sana kutokana na location yake ilipo utapiga sana kokoto kwenye jua pale wafugwa wengi pale wametoka magereza ya karanga(Kilimanjaro) na kisongo(Arusha) hawa ni wa vifungo virefu na wale wa pale tanga kule shuruba ni nzito sana wafungwa wa kunyongwa wapo pia pale wengii tyu (condemn) maweni hata askari magereza ni wakali sana upekuzi ni kila muda na vipigo ukienda kule mwezi utapauka na kua mweusi tiii kutokana na joto, kazi, mrundikano wakuu gereza la maweni ndio gereza naloliogopa kuliko yote Tanzania likifuatiwa na gereza la Songwe na gereza lililopo Ruvuma!
Ruvuma ni gereza la KITAHI,utalima mpaka uelewe.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mbona hujatuambia kua admission hua wanapunguza miaka?mfano miezi sita wana kuadmitt minne ila ukizingua inarudi..Afu zile x za blue sijui nyekundu zina maana gani....Umenikumbusha mbali sana nilipoingia tu jela nikapewa genge ujenzi....CL na manyapara wengine walimind sana walitaka niende kilimo ili wawe wananichomea all in all miaka iliisha na namba ilioza....Butimba miaka ile ya kina Kalikenya CL mnoko alipigwa beto akakata moto rip magereza palichafuka uongozi mzima ulipigwa reshuffle mpaka rpo...
 
Mbona hujatuambia kua admission hua wanapunguza miaka?mfano miezi sita wana kuadmitt minne ila ukizingua inarudi..Afu zile x za blue sijui nyekundu zina maana gani....Umenikumbusha mbali sana nilipoingia tu jela nikapewa genge ujenzi....CL na manyapara wengine walimind sana walitaka niende kilimo ili wawe wananichomea all in all miaka iliisha na namba ilioza....Butimba miaka ile ya kina Kalikenya CL mnoko alipigwa beto akakata moto rip magereza palichafuka uongozi mzima ulipigwa reshuffle mpaka rpo...
Nicheki PM mkuu wangu
 
Back
Top Bottom