Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Hhahaha kituoni unaogopa😀😀
Kwasis ambao tuna mahasira ya haraka nmegundua uki avoid pipo yaan ukiwa unaish mwenyew mwenyew inasaidia sana kuwa safe..

Unajiepusha na mabalaa meng hasa ya kwenda huko jela
 
Point. 👍
 
Umeongea point mkuu
Hhahaha kituoni unaogopa😀😀
Kabsaa tukiwa tunaingia tunaamini tutatoka ila
unakata mwezi had mwaka bado upo ndan had unaozoea nahis mkuu ww upo shirika la wakimbiz nn ukienda cheq warundi
 
Maweni naona ndio gereza gumu sana kutokana na location yake ilipo utapiga sana kokoto kwenye jua pale wafugwa wengi pale wametoka magereza ya karanga(Kilimanjaro) na kisongo(Arusha) hawa ni wa vifungo virefu na wale wa pale tanga kule shuruba ni nzito sana wafungwa wa kunyongwa wapo pia pale wengii tyu (condemn) maweni hata askari magereza ni wakali sana upekuzi ni kila muda na vipigo ukienda kule mwezi utapauka na kua mweusi tiii kutokana na joto, kazi, mrundikano wakuu gereza la maweni ndio gereza naloliogopa kuliko yote Tanzania likifuatiwa na gereza la Songwe na gereza lililopo Ruvuma!
 
Nasikia na gereza la Man'gola utalima vitunguu ndani ya maji kama ruba
 
Ruvuma litakuwa la kitai ni gereza la kilimo liko wilaya ya Mbinga na ni pembezoni mwa barabara kuu ya Mbinga songea
 
Kama unadhani jela ni shule mpeleke mwanao, sio kuzuri hata kidogo

Hakuna kitu muhimu kwa binadamu kama uhuru, ndugu zangu tuishi na watu vizuri tuepukeni migongano na ugomvi usio na maana hasa wale wenzangu na mimi wenye hasira za karibu na kupanic fasta.. wizi, udokozi na makosa madogo madogo ya kisheria tujiepushe nayo
 
Vp sehem za kulala zinakuwa jena ratiba ya siku nzima, hakika tuepushiwe mbali kikombe hicho.
 
bilashaka gereza la keko hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…