Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
- Thread starter
- #101
Sidhani kama jamaa ataweza kukujibu hili swali vizuri hii adhabu haitolewi sana sasa hv ilikua nyuma kwa wale wabakaji hata wanaotandikwa hawapendi kusema naona jaji alimfutia sabaya akampa miaka 30 bila viboko fuatilia hukumu yake utajua jaji alimwondoleaMkuu haujakata kiu cha swali langu.
Hapo umeeleza namna ya ukung'utaji wake tu.
Ninachotaka kuelewa, pamoja na process hizo za kupimwa na nini sijui, mboko zinatembezwa siku ya ngapi tangu utinge jela kuanza kutumikia adhabu?
Nikatolea mfano wa Sabaya ambaye alifungwa na kukata rufaa, je alishapigwa tayari hata kabla ya mchakato wake wa rufaa haujasikilizwa, au inakuwakuwaje hapo?