Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

Sidhani kama jamaa ataweza kukujibu hili swali vizuri hii adhabu haitolewi sana sasa hv ilikua nyuma kwa wale wabakaji hata wanaotandikwa hawapendi kusema naona jaji alimfutia sabaya akampa miaka 30 bila viboko fuatilia hukumu yake utajua jaji alimwondolea
 
Siku unayo hukumiwa ndo siku hiyo hiyo utaianza adhabu yako mzee na ndo siku utayoenda kukabidhiwa uniform za orange ila hautapigwa Hadi upimwe afya kwanza
Biashara ya kukata rufaa hiyo ni juu yako wenyewe wataanza kukupa huduma unayo stahili kama mfungwa na siyo mahabusu tena kwanzia siku ya hukumu.
 
Ushauri mzuri kiufupi ukiwa masikini jela utapata tabu Sana.
Yote uliyoyasema bila pesa haiwezekani.
Ukinayo utapata KILA kitu jela.
Ukali wa askari ni stress za maslai mbuzi watwange pesa tu
 
Mateso yote ya nn si unajipiga kitanzi tu kufa kiume kuliko kuwafanyia watu Kazi wale jasho lako
 
Ili wasiwe na msongo
 
Kwa maelezo haya ni dhahiri Magufuli yupo motoni, maana pamoja na dhahama zote hizi yeye alikuwa anaona hazitoshi aliwasema Askari magereza wawatese kwelikweli wafungwa.

Sijawahi kuona Mtanzania katili kama huyo mwendakuzimu.

yeye amekufa tayari,kazi kwako kujichunga usijeyavagaa.

vinginvyo utaenda kushuhudia ushetani wake kwa milango yote mitano ya fahamu,tena unavyoonekana wewe hata tundu utatoa.

umelegea sana.
 
Huu ushauri ungemfaa yule dogo wa Chuga ambae anadaiwa kumdedisha maza wake ...

Je aina ya kesi itaamua ni aina gani ya gereza mfungwa apelekwe ? mfano Mauaji n.k
yule atalainika,kuna siku napiga stories na wafungwa akaletwa dogo ambaye ana kesi ya kumtishia kifo mama yake,alipigwa na wananchi so anachechemea
yale mafungwa limoja likasema "dogo we ni mgeni wangu,ukifika wambie hivo😅" lingine "dogo ngoja tuje utanyooka tu wewe" dogo alinywea akapata stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…