Zingatia sana unapoanzisha mahusiano mapya

mimi kama sjakula hela yako usifikiri hii pussy utailamba, tena sio hela nigga ni mihela, mnapendaga sana kitonga nyie kila mtu abaki na chake nabaki ma utelez wangu wewe baki na pesa zako.
Sasa kama hautoi nyapu mpaka upewe hela na wewe usiombe hela kama haujatoa nyapu fullstpo
 
Kumbe unauza??

Huyu anaongelea mahusiano ya mapenzi nazani hukuelewa Mada,
Pia kwa wanaouza wenyewe wanasheria zao,.
Na wanautaratibu mzuri tu ambao haunaga migogoro,.

Sizani kama madada poa watakuomba Chipsi yai kipindi unapatana nao au watakuomba ela ya saluni,.

Shida kubwa ipo huku mtaani kwa wanaojiita WANAJIHESHIMU mara sijui WANAWAHESHIMU wazazi wao sijui kutoka USIKU ngumu,.


Dada UNAHESHIMA gani kwa BABA ako mpaka ushindwe kwenda kuitumikia ela ya kijana wa watu?
Heshima hiyo imeanza lini?


Ndio mada ipo hivi.



Wakati kwa SELE unaenda kila siku tena bila kuchoka na HUPEWI chochote kitu
 
...Uzi mzuri sana... Wanaume tunawapenda sana wanawake... Tunaweza kuwahudumia mahitaji yenu bila kusex mpaka ndoa ifanyike... Lakini huwa hatufanyi hivo kwasababu hatuna imani kama mnaweza kuwakatalia wanaume wenzetu wanapowataka... Ndio maana wanaume wengi huwa wanahitaji sex kwanza...
 
Ndio
 
Quid Pro Quo....
Something for something 🤣🤣🤣
 
Pole sana kwa kunyimwa kitumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…