Pia kwa wanaouza wenyewe wanasheria zao,.
Na wanautaratibu mzuri tu ambao haunaga migogoro,.
Sizani kama madada poa watakuomba Chipsi yai kipindi unapatana nao au watakuomba ela ya saluni,.
Shida kubwa ipo huku mtaani kwa wanaojiita WANAJIHESHIMU mara sijui WANAWAHESHIMU wazazi wao sijui kutoka USIKU ngumu,.
Dada UNAHESHIMA gani kwa BABA ako mpaka ushindwe kwenda kuitumikia ela ya kijana wa watu?
Heshima hiyo imeanza lini?
Ndio mada ipo hivi.
Wakati kwa SELE unaenda kila siku tena bila kuchoka na HUPEWI chochote kitu