figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
Halafu zipu yenyewe iwe ya jeans... Utalia kikwenu bila kutarajia !
Hii ni sawasawa na n'ge apandepande hadi ikulu halafu akun'gate... Weee lazma utapiga
' lwaangi ' !
Wanaogopa majotroooooo lolMkuu kwa ushauri uwe unavaa c.hupi.
Zamani wakati c.hupi zilikuwa shida ndo tulikuwa tunabanwa.
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
Rahisi sana kuitoa, unachana zip. Mia
Wanaogopa majotroooooo lol
we utakuwa na soksi tu. Najaribu ku imajini ngozi inanasa vipi sipati picha
Unaongelea kwa wale wenye govi?
Huvaagi chupi? Mbona ngumu sana hiyo kitu kutokea?
kwani isiyo kuwa socks ndo inakuwa ka mti kiasi kwamba zip hainasi? hahahaaaa...!!! mi nilishaondoa socks lol. Mia
sasa hiyo ngozi inakuwa loose kiasi gani? Bado sipati picha
kwanza lazima ubinuke ghafla alafu ufumbe macho kwa maumivu huku umeishika zipu kwa adabu!! Laiti ukipigwa picha utakuwa kama avatar ya mtu flani hapa JF!!
Cha muhimu namwita demu wangu kama yupo karibu aje anitoe, sitasikia maumivu sana manzi wangu akinitoa. Mia.
utaipata tu. mia
Mkuu kwa ushauri uwe unavaa c.hupi.
Zamani wakati c.hupi zilikuwa shida ndo tulikuwa tunabanwa.