zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

Wanaobanwa na zipu ni wenye magovi(hawajatahiriwa) ni vema kuwahi hosp kufanyiwa hiyo kitu!!
 
Wanaobanwa na zipu ni wenye magovi(hawajatahiriwa) ni vema kuwahi hosp kufanyiwa hiyo kitu!!

wewe utakua hujatahiliwa. hivi unafikiri kutahili wanatoa ngozi yote kama unavyo menya ndizi? ni sehemu ndogo tu inatolewa. sasa thubutu kunaswa na zip kwenye mshono wa tohara utalia kwa kiluga cha kwenu. Mia
 
ha ha ha mbona una ng'ata meno..na kupeleka chini vyuuuuuuuuuu alafu dudu linakua jekunduuuu.
 
Apo mdau itabidi uchague, kubondabonda mdudu utoe zipu au kubondabonda zipu utoe mdudu............
 
ngozi legelege si huwa inakuwa kule mbele tu ama!?na inatakiwa kupunguzwa..sasa inakuwaje zipu inase huku kulikogangamala au bado kifaa kiko timilifu!?kama ushapunguza itakuwa unafanya makusudi kuisokomeza kwenye zipu
 
Back
Top Bottom