zip ya suruali ikinasa kwenye ngozi ya mdudu utaitoaje?

Watu wanasema tuu, inshu hizi zinatokea popote pale mie ilinitokea wakati Nina usingizi Wa asubuhii nimetoka maliwatoni, ile nafunga tuu zip bhaaaa ikabana air nikaanza kuimba mwenyewe naomba msamaa kwa hewa, ilinichukua kama dakika 10 kuondoa no experience ambayo inanifanya niwe makini sana Sikh hizi
 
Mi nishawahi,lol!
I can imagine, ila nadhani ukijimiminia mafuta mepesi (glycerin, olive oil ama hata mafuta ya kupikia), vuta pumzi then vuta zipu chini.

samahan we ni me au ke???!hii kitu hata kwa ke?!!!
 
Hahahaha nimecheka sn kuna mtu alibana hiyo ngozi alibaki ameshikilia zipu anahangaika hajui apandishe juu ashushe chini apo chacha
 
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
Kaka isha nitokea kama mara mbili! Du nilihisi natahiriwa bila ganzi.
 
uvai chupi babangu?!
kijacho Siku moja moja upepo bwana (aka ventilation) especially nikiwa home na waifu huwa navaa pensi tu yenye zipu na ndo hiyo matatizo yanapotokea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…