Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena?
Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge.
Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana hili nalo neno. Unaweza kuta umehamishia gharama kwenye umeme. Kila ninayemuuliza hana majibu.
Nyingi nimeona ni za kichina. Nikauliza life span ya battery ikoje? Sijapata majibu na ndio maana nawaza pengine wanaouza sasa ni wale ambao tayari battery zimeshaleta shida. Na je zinakaa muda gani kabla ya kubadilisha?
Nikawaza zaidi ikichoka unaweza badilisha? Kwa maana ya kwamba zipo mbadala wake? Kama zipo Tsh ngapi?
Niliendelea kuwaza zaidi je hizi tukutuku zinaweza beba uzito kiasi gani? Je kilo 200 inaweza beba au hata 180 kwa watu angalau wawili wenye kms 90 kila mtu.
Naombeni tupeane uzoefu na mwisho tuambiane Brand ipi ni nzuri zaidi.