Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

Zipi ni nyimbo maarufu za kuaga mwaka 2024 na kukaribisha mwaka mpya 2025?

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, je ni zipi nyimbo maarufu za kuaga na kukaribisha mwaka? mm nafahamu ule wa Abba group, na ule wa huruma kwa wagonjwa, wadau karibuni mtiririke.
 
“Nimeota mwakani nitapata mpenzi nitadumu nae alafu nutanunua range nitapanda nae “ nimesaahau jina la muimbaji
 
Nje ya mada.
Km upo wimbo wa injili wa kuanga mwaka na kukaribisha mwaka naomba jina wadau
 
Toilet wa Kontawa
 
Back
Top Bottom