Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Wengi wana bipolar (hasira na kufyatuka kubwatuka AKA akili ndogo sana)sababu ya uric acid itokanayo na matumizi ya nyama nyekundu.Bipolar ni kipimo cha uwezo mdogo wa kufikiri.Sio romantic
Wanahitaji mwanaume na sio mvulana,hawakimbii ndoa iwe kwa shida au raha hawajui kuacha,hawataki mchezo wala kudekeza Kuishi nao inabidi uwe Yesu yaani uwe na kiwango cha juu sana cha emotional intelligence uwezo wa kuhimili vurugu,purukushani na ugomvi yaani a peacemaker.
Labda upate aliyetoka kwenye civilized family ambae amekuwa shaped na shule na dini.
 
Majority wana bipolar,hasira,ubabe, verbal abuse,ngumi mkononi,watata,sio waelewa,utapata tabu sana kama we sio kabila lao.
Ukitaka kuoa chunguza asili yake tena kwa kituo hasa wazazi wake wapoje kama hawaishi pamoja usiingie hapo
 
Kama hujui kitu Bora unyamaze kuliko kuongea utumbo (ujinga) huu wa story za kijiweni kwenu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…