Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Nlkuwa kwenye situation ya no return, yn unaona hapa Siwez kupata ndom afu nyama h hapa imekuja ynyw πŸ˜‚ ukileta mambo mengi na nyama nayo inaondoka
Kwa mimi bora nyama iondoke tu kuliko kuuza mechi ndio maana napenda kutembea nazo.
 
Hawajui Mapenzi(Wakifika kileleni wanakushika matako)
Wana viburi kama Babu zao.
Ila ni mafighter afu si malaya makaya.

Namaanishi ni Mama bora kwa Watoto wako ila si wake wema kwako.
Kama unampango wa kufa mapema wanastaili kuachiwa watoto, Wanaaminika.
 
Kama antenna ipo oa tu mkuu..
Wapo vizuri tu isipokuwa utaona kama hawajui kupika kama hujazoea vyakula vya kwao kule na akiwa amekulia kijijini.
 
Kuna kimasikhara utegemei wala huoni hata dalili moja ila dakika za jioooni sana unachana goli.
Dah aisee hapo kipengele, ndo mana mm nikapigwa na kisonono chap mana demu kaingia getto kwa surprise hata sikuwa na ratiba nae πŸ˜‚
Ila ngoja ntaona jinsi ya kufanya kama ww ila dah naona kuna ugumu Mm kutembea na ndom aisee πŸ˜‚
 
Sasa kumbe ni ghetto, ishi nazo humo ndani zisikosekane kwa faida ya afya yako sio uhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…