Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Sijawahi Kutana nao sheikh ila masela kibao nshakutana nao shuleni na kwenye utafutaji
Siyo watembeaji kufatuta Marshall nje ya Elimu
Kwahili umewasingizia , asilimia kubwa Binti wa kikurya kwenye ndoa ni mwaminifu sana na kuhusu ushirikina pia sio kweli , nimekaa na jamii hii Nina experience nayo .
Tattoo la Watanzania wazungumza vitu wa sivyo vijua mbele za watu, Kwanza mabinti wakikurya Hawatoki Nyumbani kwenda kutafuta Maisha Zaid ya kwenda kusoma ndiyo wanna Maisha uko, ni Sawa na Mabinti WA kimasai use me ni Malaya jamii itakushangaa Kwanzaa Hizi jamii mbili za kimasai na Kimura Kuwakuta dar wakifanya kazi za hovyo ni ngumu Sana, Wazaz WA Kikurya kumruhusu binti yake kwenda Dar kufanya kazi za ndani au Barmaid au Mamalishe iko kitu hakuna. Kule mtoto wa kike ni Mali anaolewa na Ng'ombe nyingi.
 
Majority wana bipolar,hasira,ubabe, verbal abuse,ngumi mkononi,watata,sio waelewa,utapata tabu sana kama we sio kabila lao.
Ukitaka kuoa chunguza asili yake tena kwa kituo hasa wazazi wake wapoje kama hawaishi pamoja usiingie hapo
Wekweli unashangaza Kuna wazazi wakikurya wasioishi pamoja? We ukishaoa tu binti
mkuu si ukanda uouo unategemea hata mambo yao

mkuu si ukanda uouo unategemea hata mambo yao hayatapishana sana
Kwanini yasipishane Kila kabila lina Tamaduni zake unatakiwa utembee ujue na uishi na jamii tofauti, Kwani Wamasai na Wairaq Kwani Mira zao zinafanana ?
 
Yap si wakanda ya ziwa hao tabia zinaendaendana labda upate wa mjini
Hapana tabia tofauti Kanda ya ziwa wanao keketa wanawake ni wakurya peke yao, Wasukuma wao hawataihili Wanaume, wakurya wao hawa chanji chale mwilini na jamii yao hakuna waganga
 
Siyo watembeaji kufatuta Marshall nje ya Elimu

Tattoo la Watanzania wazungumza vitu wa sivyo vijua mbele za watu, Kwanza mabinti wakikurya Hawatoki Nyumbani kwenda kutafuta Maisha Zaid ya kwenda kusoma ndiyo wanna Maisha uko, ni Sawa na Mabinti WA kimasai use me ni Malaya jamii itakushangaa Kwanzaa Hizi jamii mbili za kimasai na Kimura Kuwakuta dar wakifanya kazi za hovyo ni ngumu Sana, Wazaz WA Kikurya kumruhusu binti yake kwenda Dar kufanya kazi za ndani au Barmaid au Mamalishe iko kitu hakuna. Kule mtoto wa kike ni Mali anaolewa na Ng'ombe nyingi.
Wa Zamani labda
 
Umemaliza Mkuu, watu bado wako enzi za mawe. Siye Wakurya wengi kwanza tumeshachanganya. Halafu watu wanajiongelea kuhusu Wakurya kwa kusikia umbea, hata hawawajui. Naunga mkono jibu lako 100%
Niliwahi date binti wa kikurya ni wababe kama wanaume!
 
wana heshima sana kwa wanaume hasa wa kwao. pia si wa kujiweka chini sana. ukiliamsha analiamsha pia
kabila zingine ni second class kwani wakurya tunaamini kabila zingine hawatahiriwi. hivo kunakuwa ni dharau kiasi kwa kaBILA zingine
hakuoni kama mwanaume kamili. 😆 😆 😆
Tofauti ya tohara ya mmasai na mkurya ni ipi?Maana wamasai wanatahiriwa bila ganzi
 
Tofauti ya tohara ya mmasai na mkurya ni ipi?Maana wamasai wanatahiriwa bila ganzi
unaipata wapi iyo ganzi uko maporini? kiasili ao wote hawatumii ganzi labda wawe hawa wa mijini
 
Labla n mkurya mwenzie au amekulia huko
mkuu unamaanisha uyu jamaa aliyekuwa mnenaji maarufu kutoka ile radio inafanana jina na vitu vinavyoelea uko angani aliye rip miezi michache iliyopita anaweza kuwa wa uko naye?
 
mkuu unamaanisha uyu jamaa aliyekuwa mnenaji maarufu kutoka ile radio inafanana jina na vitu vinavyoelea uko angani aliye rip miezi michache iliyopita anaweza kuwa wa uko naye?
Mm cmjui huyo unayemsemea
 
Back
Top Bottom