Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

Oa mkuu wapo vizuri kimaadili hasa ukibahatika kumpata alielelewa vyema na anaejitambua. Kwa experience yangu ya mahusiano so far sijawahi kuwa na kipindi kizuri na mahusiano bora kama kipindi nipo na mkurya. Amekamilika ni mtu na nusu.
mmh we ni wawapi mkuu? isijekuwa ni wa uko unawapigia debe[emoji1]
 
Ndo kabila pekee lisilo na nyege mshindo!
Na wanajiamini.
Au kwa vile wamekeketwa!!!
 
Hata kabila nyingine huwaona kama wavuta bangi na wagomvi. Kichekesho zaidi ni kumwona Waitara akilia hadharani bila kupigwa na mtu.
 
Ni wababe akikuletea ubishi zaba kofi inshort wakanda ya ziwa wote wa kike ni wababe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…