Zipi ni sifa za mabinti wa kikurya?

wengi wanafanyia mapenzi kama kitu kisicho na umuhimu. wanawake wao watata sana hasa akiwa aliyesoma ndio umbwa kabisa. hao wanawezana wenyewe na makabila ya wanaume wababe kama sisi wameru.
duuh hao ni wamba kabisa
 
Wana katabia kakutoa mzigo kwa kila mwanaume hata kama wapo ndani ya ndoa. Pia ushirikina

Uoa kisha urudi hapa kunipa mrejesho
Sio kweli mkuu. Sifa kubwa ya wakurya na wajaluo ni utemi. Sijui sana kuhusu ushirikina lakini kuhusu kuchapiwa Kwa uzoefu wangu iyo tabia sana sana wanayo wairaqwi, wazaramo, warangi, wahaya na wangoni kidogo.
 
Mabaamedi wa kimasai saiv wapo mjini kibao.
 
Umemaliza Mkuu, watu bado wako enzi za mawe. Siye Wakurya wengi kwanza tumeshachanganya. Halafu watu wanajiongelea kuhusu Wakurya kwa kusikia umbea, hata hawawajui. Naunga mkono jibu lako 100%
Mfano angalia wewe ulivyo mzuri, 🤣🤣🤣🤣 ukilinganisha na story za watu huwezi amini kuna warembo huko
 
Kuna mmoja nilikuwa namnyatia pale UDSM yule mtoto alikuwa mzuri balaa! Huwezi kuamini kama ni Mkurya mtoto mweusi, mrefu halafu sura bomba kinoma. Alivyoniambia Mkurya sikuamini kabisa. All in all, naishi eneo ambalo Wakurya ni majirani zangu kwa miaka mingi. Wanawake wao wana heshima, wavumilivu na wenye subira kubwa.
 
uzuri wa sura....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…