Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

Rumion ya Cc 1490 inafunga Denso FK16HR11.

Pamoja na kwamba ni 1nz fe lakini plug hiyo haifungwi kwenye IST yenye engine sawa na hiyo ya Rumion.
Kwa nini haifungwi kwenye IST wakati engine ni hio hio?SO aina ya engine sio primary factor kutakuwa na factor nyingine.Nafikiri kama mwanasayansi na sio kama fundi gari.
 
Engine ya 3s natumia aina gani kiongozi
 
Rumion ya Cc 1490 inafunga Denso FK16HR11.

Pamoja na kwamba ni 1nz fe lakini plug hiyo haifungwi kwenye IST yenye engine sawa na hiyo ya Rumion.
Sidhani kama watu huwa wanazingatia hili binafsi nilikuwa sijui,mimi nauza spare but kuna hii iridium plug SK20R11 ni ya pin 1 wengi sana wanaipiga mande,yupo mmoja alitaka kuitia kwenye Corolla 5A-FE engine.

Mafundi wengi mitaani wamewakaririsha watu kwamba plugs zikiwa za sindano ufanisi wa engine unakuwa mzuri zaidi so hata ambaye gari yake haizikubali anaingia kwenye mkumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…