Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
UhaiUngesema ipi iliyoganda
Soma vizuri kaandika "Uhai".Ungesema ipi iliyoganda
Muuza vinywaji mzoefu hapa, sababu zinaweza kuwa kadhaa lakini kubwa ni aina ya chupa. Vimiminika yenye chupa nyepesi mara nyingi huwahi kuganda na chupa ngumu hufuatia, hapa ongezea soda kampuni ya Coca(Plastic bottle) zinawahi kuganda kuliko pepsi.Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira yapo sawa ikiwemo temperature kwa chupa zote 3 kwanini chupa 1 igande haraka kuliko nyingine
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kemia
Kilimanjaro ya Dar inachimbwa hapo Mikocheni kuna visima vitatu.Viwango vya madini vinatofautiana. Kilimanjaro ni maji yanayotoka mlimani.
Uhai ni visima.
Mtu akiniambia majina ya Kilimanjaro yanatoka mlimani labda mlinani cityKilimanjaro ya Dar inachimbwa hapo Mikocheni kuna visima vitatu.
Umekuta chupa moja imeganda au umekuta chupa zote tatu za kampuni moja zimeganda???Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira yapo sawa ikiwemo temperature kwa chupa zote 3 kwanini chupa 1 igande haraka kuliko nyingine
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kemia
Purity ya maji.Wadau hamjamboni nyote?

imetokea tu au ulikuwa ni utafiti ?Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai
Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda
Mazingira yapo sawa ikiwemo temperature kwa chupa zote 3 kwanini chupa 1 igande haraka kuliko nyingine
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kemia
Imetokea tuimetokea tu au ulikuwa ni utafiti ?
Na chupa zote zina ujazo sawa?Wadau hamjamboni nyote?