Zipi sababu za Club ya TP Mazembe kuporomoka kimafanikio?

Tatizo huenda litakuwa kwa mwekezaji,

Mwekezaji ni Katumbi na nilisikia kajiingiza kwenye siasa,

siasa mchezo mchafu, mifano kwa hapa tz kuna kubomolewa nyumba unaambiwa umejenga kwenye barabara, kufungiwa biashara unasingiziwa hulipi kodi, n.k.
 
Maswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga
 
TP MAZEMBE Walikuwa na inshu za ujenzi wa uwanja wao ambapo 02/04/2023 walichezea mpira dhidi ya YANGA FC.

Sasa hivi wataanza kutisha balaa wakisajili Wachezaji mahiri kabisa Africa nimekaa pale [emoji117][emoji143]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna timu iliyoimarika halafu inashiriki europa. Nadhani umeelewa.
 
TP Mazembe ni timu bora ila Yanga ni timu bora zaidi. Yanga imeimarika, inaongoza ligi si kwa sababu ya kuifunga Mazembe peke yake, bali timu zote.
 
Moses katumbi ,ameamua awekeze kwenye siasa ,wahuni walimpiga Sana akiwa uhamishoni ,ngoja wakalie kuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…