Zipi sababu za Club ya TP Mazembe kuporomoka kimafanikio?

Zipi sababu za Club ya TP Mazembe kuporomoka kimafanikio?

Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?!
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!

View attachment 2574025View attachment 2574025View attachment 2574027View attachment 2574028
ligi ya kwao imesimama kwa muda unafikia miezi 4 sasa,timu hazichezi na si mazembe tu karibu zote zimefanya vby

Kwakua watanzania mnaifuatilia mazembe tu,basi mnaiona hy tu
 
Maswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga
Yanga imeingia Tunisia ambae ni mshiriki kombe la dunia 2022 na kuzifunga team mbili tofauti ndani ya mda mfupi
Basi tu sema tumefundishwa kudharau vya kwetu ila kwa Sasa yanga ni gumzo ndani ya Tunisia na nchi za kiarabu kule afrika magharibi sisemei maana tayari ni empire hakika ni YOUNG AFRICANS
 
Tatizo huenda litakuwa kwa mwekezaji,

Mwekezaji ni Katumbi na nilisikia kajiingiza kwenye siasa,

siasa mchezo mchafu, mifano kwa hapa tz kuna kubomolewa nyumba unaambiwa umejenga kwenye barabara, kufungiwa biashara unasingiziwa hulipi kodi, n.k.
Alitaka kugombea U-Rais, kaambiwa siyo raia alete vyeti vya kuzaliwa vya Babu yake na biashara zake zikaingia misukosuko kama Manji sasa Club inapita kwenye tanuru la moto
 
Hakuna timu iliyoimarika halafu inashiriki europa. Nadhani umeelewa.
Kumbuka hiyo unayoitaka Europa ndio michuano iliyowafanya mpigwe faini kwa kufanya ulozi ( uchawi) dhidi ya Orlando Pirates pale South Africa tena kweupee pasipo na haya matokeo yake uchawi wenu uliwasaidia ktk kupunguza magoli na si kuitoa Orlando Pirates haikutosha juzi tu hapa mechi dhidi ya Raja dereva WA basi la timu yenu alirudi kinyumenyume pasipo kutoa bichwa nje wala kutumia site mirror 🪞 na mkapigwa . Nyinyi aminini kwenye uchawi
 
Maswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga
Inategemea.. unakutana na timu mbovu. Mbona kwenye ligi ya mabingwa mlitolewa kama mbwa mapema tu!
 
Timu zote za DRC zimetolewa ktk michuano ya kimataifa . Sababu kubwa ya kwanza ni match fitness , ligi yao imesimama kwa muda wa miezi 4... Hata kiushindani hawawezi kuwa sawa na timu inayocheza mechi kila wiki
 
Kitendo cha mazembe kuenda kombe la loser ni dalili wameshuka ila itakuwa uwekezaji umepungua
 
Back
Top Bottom