miamia100
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 416
- 479
Utopolo bwana,tunajadili to mazembe unaongelea yangaMaswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga