Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
ligi ya kwao imesimama kwa muda unafikia miezi 4 sasa,timu hazichezi na si mazembe tu karibu zote zimefanya vbyWanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?!
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
View attachment 2574025View attachment 2574025View attachment 2574027View attachment 2574028
Labda swali la msingi ni kwa nini Simba inashindwa kuifunga Yanga kwa miaka kadhaa Sasa?ligi ya kwao imesimama kwa muda unafikia miezi 4 sasa,timu hazichezi na si mazembe tu karibu zote zimefanya vby
Kwakua watanzania mnaifuatilia mazembe tu,basi mnaiona hy tu
Yanga imeingia Tunisia ambae ni mshiriki kombe la dunia 2022 na kuzifunga team mbili tofauti ndani ya mda mfupiMaswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga
Kwahio hii ya kupigwa 6 ndio imara wewe Mbumbumbu?Kwani uliambiwa simba ilikuwa imeimarika? Hakika wewe ni kilaza
hahahaha,yanga ya sasa usiwachukulie poa ,tukiweka ushabiki pembeni yanga wazuriLabda swali la msingi ni kwa nini Simba inashindwa kuifunga Yanga kwa miaka kadhaa Sasa?
Alitaka kugombea U-Rais, kaambiwa siyo raia alete vyeti vya kuzaliwa vya Babu yake na biashara zake zikaingia misukosuko kama Manji sasa Club inapita kwenye tanuru la motoTatizo huenda litakuwa kwa mwekezaji,
Mwekezaji ni Katumbi na nilisikia kajiingiza kwenye siasa,
siasa mchezo mchafu, mifano kwa hapa tz kuna kubomolewa nyumba unaambiwa umejenga kwenye barabara, kufungiwa biashara unasingiziwa hulipi kodi, n.k.
Halafu hiyo timu aliondolewa kwenye ubingwa wa Afrika na Vipers ya UgandaHakuna timu iliyoimarika halafu inashiriki europa. Nadhani umeelewa.
Kwa nini ligi imesimama?tatizo siasa na si uwekezaji, ligi drc hajachezwa kwa miezi 4,
Timtu zote za drc hazichezi ligi ya nyumbani zaidi ya mechi za kimataifa
Hakuna mahali wana simba wamesema timu yao imeimarika. Nyinyi vilaza mnatupigia kelele eti uto imeimarika, yaani timu inashiriki shirikisho halafu iwe imeimarika?Kwahio hii ya kupigwa 6 ndio imara wewe Mbumbumbu?
ligi ya drc, serikali inachangia gharama za usafiri kwa timu zote,hasa usafiri wa anga, ila kwa sasa serikali haijatoa hizo hela na kusababisha ligi kusimama, ila muda si mrefu itaanza tenaKwa nini ligi imesimama?
hahahaha,yuko bize na uraiskamuulize katumbi
Kumbuka hiyo unayoitaka Europa ndio michuano iliyowafanya mpigwe faini kwa kufanya ulozi ( uchawi) dhidi ya Orlando Pirates pale South Africa tena kweupee pasipo na haya matokeo yake uchawi wenu uliwasaidia ktk kupunguza magoli na si kuitoa Orlando Pirates haikutosha juzi tu hapa mechi dhidi ya Raja dereva WA basi la timu yenu alirudi kinyumenyume pasipo kutoa bichwa nje wala kutumia site mirror 🪞 na mkapigwa . Nyinyi aminini kwenye uchawiHakuna timu iliyoimarika halafu inashiriki europa. Nadhani umeelewa.
Inategemea.. unakutana na timu mbovu. Mbona kwenye ligi ya mabingwa mlitolewa kama mbwa mapema tu!Maswali hayo mnayojiuliza kwa TP Mazembe mjiulize pia kwa Yanga kwanini imeimarika kwa Kasi ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kushuka kwa TP Mazembe mpaka sasa kuna watu hawaamini ubora wa Yanga kwa sasa wakidhani Yanga itakuwa haina jipya kwa Mazembe na timu nyingine ktk kundi lake eti tu kwa kuangalia historia ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Mtajiuliza Sana maswali kama hamtoamini ktk ubora wa Yanga
kombe la luza.Huna akili hata robo mwaka jana mmeshikwa uchawi nchi za watu mlikua kombe gani?
Sababu wanayotoa hao waliosimamisha ni ipitatizo siasa na si uwekezaji, ligi drc hajachezwa kwa miezi 4,
Timtu zote za drc hazichezi ligi ya nyumbani zaidi ya mechi za kimataifa
fedha za kusafirisha timuSababu wanayotoa hao waliosimamisha ni ipi