Zipi sababu za Club ya TP Mazembe kuporomoka kimafanikio?

Utopolo bwana,tunajadili to mazembe unaongelea yanga
 
Utopolo bwana,tunajadili to mazembe unaongelea yanga
Kuna watu humu wamejitoa ufahamu mpaka unashangaa. Lakini amini hiyo ndio jamii ya kitanzania inayotoa wabunge, mawaziri na viongozi. Hakuna jamii nyingine
 
Inasikitisha sana ama Kweli utopolo ni utopolo tu
Kuna watu humu wamejitoa ufahamu mpaka unashangaa. Lakini amini hiyo ndio jamii ya kitanzania inayotoa wabunge, mawaziri na viongozi. Hakuna jamii nyingine
 
FAKE LIFE.
Everyone in Africa wants to live in a prosperous life that's why faking, people pretending while they know they are acting to make their stomach full. Players coaches and even team owner doing the same, they doesn't care about what others feel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…