Aka!Mnajifunza wenyewe,especially mkikutana na msichana anaejionyesha/onekana kwamba yeye ni matawi...mnaweka uongo ili muonekane na nyie mpo juu!Kua mkweli...sio wote wanakimbiza pesa au status!You are right :A S thumbs_up: lakini mwisho wa siku mnatufundisha kudanganya:coffee:
Aka!Mnajifunza wenyewe,especially mkikutana na msichana anaejionyesha/onekana kwamba yeye ni matawi...mnaweka uongo ili muonekane na nyie mpo juu!Kua mkweli...sio wote wanakimbiza pesa au status!
Aka!Mnajifunza wenyewe,especially mkikutana na msichana anaejionyesha/onekana kwamba yeye ni matawi...mnaweka uongo ili muonekane na nyie mpo juu!Kua mkweli...sio wote wanakimbiza pesa au status!
Mhh. Thanks, NOTED
Hapo ndio penye shida! Sometimes i think its easy kupata mke sahihi(mapenzi ya kweli) ukiwa huna pesa na status
Mkuu hawa ndo wanawake wa kisasa unaweza ukawa na mipesa kibao lakini humfikishi anako taka basi ujue wapo toto tundu watakusaidia kumfikisha na wengine wapo jamaa anajituma kweli kweli na anamfikisha lakini jamaa hana pesa ya lotion basi inabidi mama atafuta katajiri angalau kawe kanampa za matumizi sabuni, lotion n.k
THANK YOU THANK YOU THANK YOU Ssikioni kitufe cha kubonyeza Thanks:A S thumbs_up:Kaka Elia, kama nimekuelewa wewe unatamani kupata mke, na sio demuuuuuuu!!
Kumbuka mke mwema anatoka kwa Mungu, haina maana usimtokee msichana kumwambia hilo hitaji lako hapana.
ILa mshirikishe Mungu, Muombe Mungu akuongoze katika hilo. Omba Mungu akupe utulivu wa moyo.
Halafu usiwe na haraka, hata kama unadhani una haraka ktk hilo. Utulivu ni mzuri kwa sababu hutakurupuka ktk maamuzi yako.
Finally utashangaa utampata mke mwema.
Note: Mke mwema humpati kwa sababu una pesa, au we ni mzuri, au una kazi nzuri, au unajua sana kuongea, au ni msafi sana,au chochote kile kinachoonekana kwa macho. Hivyo vyote ni zaida tu.
Ila mke mwema anakuja kwako kwa sababu wakati aliokupangia Mungu kuoa umefika.
Aaah, hawa ndugu noma sana mtihani upo kwenye kumfikisha, duuh..
Yani we muharibifu kweli wewe!hahahahaha sasa si lazima ujifanye na wewe matawi ili umege na ukisha kagua unachapa mwendo fasta
Jibu sahihi ni kwamba...ni rahisi kupata mapenzi ya kweli kwa mtu ambae hatumii pesa na status kama vigezo!Kwahiyo hata ukiwa navyo inakua nyongeza..hapo ikitokea siku ukapoteza hivyo vitu bado atakuwepo!Kama unatafuta mke/mwanamke wa kumpenda kweli na yeye akupende achana na uongo...be yourself..mpe hali yako halisi akikukataa kwa hilo hakufai!!Hapo ndio penye shida! Sometimes i think its easy kupata mke sahihi(mapenzi ya kweli) ukiwa huna pesa na status
Yani we muharibifu kweli wewe!
Aaah, hawa ndugu noma sana mtihani upo kwenye kumfikisha, duuh..
We Fidel acha kumpotosha na kumkatisha mwenzako tamaa hivyo!Wapo wengi tu ambao wako tayari kutafuta pamoja!Kama huna pesa atajaribu mambo ya mafiga ma 3
Lengo lako ni kutimiza matakwa yako ya mwili..na ili ufanikiwe ni lazima na wewe uwe msanii!Lengo si kutimiza matakwa ya mwili ili nifanikiwe lazima na mm niwe hivyo
We Fidel acha kumpotosha na kumkatisha mwenzako tamaa hivyo!Wapo wengi tu ambao wako tayari kutafuta pamoja!
Lengo lako ni kutimiza matakwa yako ya mwili..na ili ufanikiwe ni lazima na wewe uwe msanii!